Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
View attachment 1574203
don't just teach, equip them as well, what in 2020 is this?
Hatununui mitumba sie!
View attachment 1574203
don't just teach, equip them as well, what in 2020 is this?
Hiyo ni museum ya jeshiView attachment 1574203
don't just teach, equip them as well, what in 2020 is this?
Hao sio wanajeshi we mboga, ni watumishi wa bungeView attachment 1574203
don't just teach, equip them as well, what in 2020 is this?
Mkuu hata mimi huwa najiuliza sana hili swali...mkuu wa Nchi inasemekana alionywa lkn bado akasaini tuu...hii inavuta picha kamili ya yale yasemwayo 'Rizii na powder uko Uchina'...I dare questioning my self patriotism of J.Kikwete, yaani nashangaa huyu jamaa alisaini vp huu mkataba wa kijinga kiasi hiki.
[emoji23][emoji23]ni Nyoka wa Mndimuskufatilia baada ya kuingia round2 anyway ngoja tuone ila simwamini....
ingawa najua ni nyoka kibogoyo
Hatununui mitumba sie!
oh my bad, i saw the JWTZ accronym, basi tuonyeshe ya wanajeashiHao sio wanajeshi we mboga, ni watumishi wa bunge
Heheheheheeee alafu mbugila mbugila wako humu wanaichukulia poa Tz af at the same time wanajiita WaTz wtf.
Kuna wengine wameiondoa Tanzania kwenye list ya coronavirus quarantine! Unafanya mchezo?Heheheheheeee alafu mbugila mbugila wako humu wanaichukulia poa Tz af at the same time wanajiita WaTz wtf.
Inaelekea ulipata gandhi, hiyo clip inaelezea Jeshi likitoa mafunzo kwa watumishi wa serikali. Kama unataka kuhusu jeshi lenyewe kafungue uzioh my bad, i saw the JWTZ accronym, basi tuonyeshe ya wanajeashi
View attachment 1574203
don't just teach, equip them as well, what in 2020 is this?
Mkuu hata mimi huwa najiuliza sana hili swali...mkuu wa Nchi inasemekana alionywa lkn bado akasaini tuu...hii inavuta picha kamili ya yale yasemwayo 'Rizii na powder uko Uchina'...
Ila alitaka sana utiaji sahihi ukamilike kabla ya kuondoka wazalendo wakam-sabotage kwa nia njema na maslahi mapana ya nchi!.........mmmh!
Sidhani kama ali-saini huo mkataba mkuu. Kama angekuwa alimwaga wino pale isingekuwa rahisi hivi kwa JPM kuipiga teke hiyo project. Lazima ingeleta shida kwa kuvunja huo mkataba. Itakuwa ilikuwa proposal tu hiyo.