yawa [emoji23][emoji23]
kafilisika kimawazo huyu.. ni sawa Magu aende azindue ile carpentry ya Piere mlevi
pia, inawezekana hii ni ya fisadi mmoja hiv wa hela za covid
yawa [emoji23][emoji23]
laptops za watoto ziliishia wapi?
He is trying to make news kesho atazindua matundu ya choo!😂😂😂nchi imekufa kwa sasa
Ndio maaana jamaa wanachuki sasa. Awamu ya tano imefanya wasichotarajia