Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka kusema serikali imekurupuka? Kwani wao hawana wataalamu wanaowashauri?
Hiyo hoja ya reli mbili sijui umeitoa wapi? kama unaongelea reli ya kati na hiyo ya Musoma, mbona zinapitia sehemu tofauti? Usiangalie reli zinapoanzia na kushia tuu, angalia pia na zinapopitia. Sio wateja wote wanaanzia Dar na kuishia Mwanza/Kigoma, wengine wanapandia kati na kushukia kati.
Kwa uhalisia wa maelezo yake ni kuwa Serikali imekurupuka na haitafanikiwa bali itaishia kwenye feasibility study na kwa research alizonazo yeye yupo sahihi huku wengine tukiendeshwa na mihemko 🙂
 
Ni vizuri kukubali argument bora na si kuanza kushambulia watu na ukanda na ukabila hapa economics ndo inaongeleka lets wait demand to build up at Tanga port. Lets wait the EACOP oil terminal to be constructed n current expansion to be completed. Nina uhakika tutapata picha kamili kuna uwezekano with their oil money Uganda waka-commit to Tanga port as the efficiency of Wagon ferries to Mwanza from Port bell and onwards by SGR to Dar will be a determinant factor! For now give a MGR a chance ti create a demand for railway services.
Subirisubiri utapata mwana si wako bro. Wewe ni mojawapo ya watu kwenye huu uzi wenye database zenye data za kutosha vichwani ila zitumie kuforecast rather than kutoa results pekee. Hii ni vita ya kiuchumi mura
 
Kitambo waliambiana waususe huu uzi ila baadae wakarudi kimya kimya,hii isuue ya pipeline hoima to tanga imewakimbiza humu kimya kimya,wanaishia kusoma kwa mbali
Tujikumbushe kidogo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-06-06-12-01-29.jpeg
Screenshot_2020-06-06-12-02-41.jpeg
Screenshot_2020-06-06-12-03-06.jpeg
 
Pipeline ambayo haijaanza kujengwa ndio malazy wananyambanyamba nayo hapa? Subirini ujenzi uanze ndio muanze kutapika humu.
 
Pipeline ambayo haijaanza kujengwa ndio malazy wananyambanyamba nayo hapa? Subirini ujenzi uanze ndio muanze kutapika humu.

pole sana, angalieni msipasuke tu kwa hizo nyongo mlizonazo[emoji116]

wakenya ndo huyo mtoto

tanzania ndo huyo dingi anakunywa maziwa (pipeline) yaliandaliwa kwa ajili yake

maziwa ndo bomba la mafuta
IMG_1600163170.018647.jpg
 
Pipeline ambayo haijaanza kujengwa ndio malazy wananyambanyamba nayo hapa? Subirini ujenzi uanze ndio muanze kutapika humu.
safari ya kuanza imewadia sasa bla bla zimeisha sasa tupigane kwenye SGR kwa uganda ndio vita iliobakia 😂😂😂😂 ila habari ya pipeline wachana nayo usiumize medula oblongata
 
Pipeline ambayo haijaanza kujengwa ndio malazy wananyambanyamba nayo hapa? Subirini ujenzi uanze ndio muanze kutapika humu.
Tuliza domo lako. unajifanya unajua kuongea ila unaongea huku hali yako iko hivi
62A282AB-BC58-467A-AE77-AE82E5C95348.jpeg

Wahenga walisema kuwa kelele za chura hazimkatazi ng’ombe kunywa maji. Ugulia maumivu ndugu😂😂😂
 
Nilishasema miaka mitatu iliyopita kuwa mradi huu ni tembo mweupe na malazy wakaona kama ni utani. Mradi huu umekuwa launched mara mbili na bado ujenzi haujaanza. Hata M7 alikuja TZ kusaini mkataba kisha tukadanganywa kuwa mradi utaanza kujengwa ila wapi? Mradi umegeuka kuwa hadithi za abunuasi. Riwaya hizi zitaisha lini? Tunataka kuona mradi ukizinduliwa rasmi na malorry na bulldozer zikilainisha ardhi. Sio mambo ya hadithi na riwaya kila wakati
 
labda uwe hujui miradi mikubwa kama hio inaendeshwaje ndio unaeza toa ulimi wako hvo😂😂😂😂
 
Nilishasema miaka mitatu iliyopita kuwa mradi huu ni tembo mweupe na malazy wakaona kama ni utani. Mradi huu umekuwa launched mara mbili na bado ujenzi haujaanza. Hata M7 alikuja TZ kusaini mkataba kisha tukadanganywa kuwa mradi utaanza kujengwa ila wapi? Mradi umegeuka kuwa hadithi za abunuasi. Riwaya hizi zitaisha lini? Tunataka kuona mradi ukizinduliwa rasmi na malorry na bulldozer zikilainisha ardhi. Sio mambo ya hadithi na riwaya kila wakati
Duuhh una moyo mgumu ww [emoji3][emoji3]
 
Huyu ni mtu mwoga anayeogopa kupanda ndege. Ndege ambayo amezoea ni kuku tu.
Aende wapi ss wkt nchi yake ina changamoto lukuki, yn aache kuzurura nchini mwake aende kuzurura nchi za watu hyo akili au tope, ushawahi ona marais wenye akili zao km kina xinping wanazurura ovyo ovyo? Magu haendi popote ni made in Tz mambo ya kuzurura ovyo kaachia uhuru.
 
Back
Top Bottom