Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 526
- 1,426
Kwa wanaoelewa hii ramani imekaa kimkakati sana. Yajayo yanafurahishaNa Umeona hii ramani? Umeona Juba and DRC's lake Albert oil fields? Total wana vitalu huko! 😀 😀 😀 👇
![]()
Kwa wanaoelewa hii ramani imekaa kimkakati sana. Yajayo yanafurahishaNa Umeona hii ramani? Umeona Juba and DRC's lake Albert oil fields? Total wana vitalu huko! 😀 😀 😀 👇
![]()
Imekuingia hyo sasa[emoji23][emoji23]kwann ukasirike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Kenya’s Health Workers, Unprotected and Falling Ill, Walk Off Job
View attachment 1566755
March salaries na sai tupo september, kweli upo desperate[emoji23][emoji23][emoji23]again [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Machakos health workers threaten strike over unpaid salaries
kwann ukasirike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Kenya’s Health Workers, Unprotected and Falling Ill, Walk Off Job
View attachment 1566755
again [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Machakos health workers threaten strike over unpaid salaries
again [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Homa Bay health workers begin strike over delayed pay
and again [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Kenya: Kisumu Nurses Threaten to Down Tools Over Unpaid Salaries
Heheehe!!za september ziko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]nimekutag again[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Dozens of Kenyan doctors strike over lack of PPE, delayed pay
Kwhyo unakataa km magazeti ni biasharauheheheh nchi imekufa hali ya kua munaiona leo unasema biashara tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Endele na unachojua chako[emoji23][emoji23]si kazi yangu punga...
Nachojua LAPSSET ilianza kujengwa 8 years back and i assure u Uhuru will go home 2022 kitu hakijaisha!
Hivi huko Kunyaland hamna positive news? ni bad news all over tuuu kama si mikopo migomo kama si migomo corona kama si corona kampuni imefiliska kama si kufilisika politician katukana mamake Uhuru kama si politician kutukana mamake Uhuru basi nyumbu stampede baada ya some heavyweight idiots ku-block migration route kama si nyumbu stampede baada ya some heavyweight idiots ku-block migration route then njaa year in year out! kama si then njaa year in year out basi wizi wa fedha za mikopo za WB! Damn polee aisee..!Endele na unachojua chako[emoji23][emoji23]
Ile siku ukipata km wakati wa kibaki kulijengwa nn rudi hapa unionyeshe[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi huko Kunyaland hamna positive news? ni bad news all over tuuu kama si mikopo migomo kama si migomo corona kama si corona kampuni imefiliska kama si kufilisika politician katukana mamake Uhuru kama si politician kutukana mamake Uhuru basi nyumbu stampede baada ya some heavyweight idiots ku-block migration route kama si nyumbu stampede baada ya some heavyweight idiots ku-block migration route then njaa year in year out! kama si then njaa year in year out basi wizi wa fedha za mikopo za WB! Damn polee aisee..!
Yani hadi rahaaa....dadeki...Mambo kunoga
Mambo kunoga
[emoji23][emoji23][emoji23]wapi majani aingize beatz?[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huko Kunyaland hamna positive news? ni bad news all over tuuu kama si mikopo migomo kama si migomo corona kama si corona kampuni imefiliska kama si kufilisika politician katukana mamake Uhuru kama si politician kutukana mamake Uhuru basi nyumbu stampede baada ya some heavyweight idiots ku-block migration route kama si nyumbu stampede baada ya some heavyweight idiots ku-block migration route then njaa year in year out! kama si then njaa year in year out basi wizi wa fedha za mikopo za WB! Damn polee aisee..!
Pale ubungo c ndo inasemekana kuna wapuuzi fulani waliojifanya chama cha baba zao walikuwa wanakula pesa pale.Hii ikikamilika ndio pale Ubungo panapihwa Nyundo na mradi mkubwa wa Logistic hub unaanza .
Hapo pekee zinaonekana 5 lkn Wakenya wanakuambia 3 ss cjui vitamins gn zimepungua kwenye macho yao.