Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
kwani huoni paa kama mlima? Bajeti iliyotengwa kugharamia stesheni ya Morogoro imepunguzws kuenda kugharamia upanuzi wa stesheni ya Kilosa!Ni kweli reflection yake ingekuja kwny paa!!!pia wangeangalia namna ya kuruhusu mwanga wa asili(natural light) upite ndani kwa kiasi kikubwa si kufunika kama nyumba ninayojenga mimi uswahilini kwetu.