Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Map-of-study-sites.png

MY TAKE
Naona kama madaraja mengine mawili yakiwekwa kukatiza lake Victoria umbali wa kagera na Kigali tokea Mwanza utapungua sana! pia lingine kati ya Mwanza na Musoma.
Safi Sana, safari ya Musoma-mara utakuwa fupi,maana huwa Kama vile watu wanazunguka.Jpm kaamua aise!
 
So pakiwa pakubwa unajua BRT mpaka phase VI itakuwa na mabasi mangapi?
Si lazima mabasi yote yakalala ubungo itategemea na nature ya route zake tu including phase 5 nimejaribu kuangalia mzunguko wake,sehemu ambayo ingetufikirisha ni kariakoo!!!Maana ni kama focal point. Ndo sehemu ambapo krb mzigo wote wa Dar unamwagika
 
Wajuvi kwakweli am good supporter of the thread, since then Lakini when comes to Morogoro station design, nashindwa kuwaelewa YAPI how does it resemble to Uruguru montains?!! Kichwa changu kinapiga shoti, Mwenye final prototype ya jengo hili anisaidie maybe sielewi please!!View attachment 1568067
Ni kweli reflection yake ingekuja kwny paa!!!pia wangeangalia namna ya kuruhusu mwanga wa asili(natural light) upite ndani kwa kiasi kikubwa si kufunika kama nyumba ninayojenga mimi uswahilini kwetu.
 
Wajuvi kwakweli am good supporter of the thread, since then Lakini when comes to Morogoro station design, nashindwa kuwaelewa YAPI how does it resemble to Uruguru montains?!! Kichwa changu kinapiga shoti, Mwenye final prototype ya jengo hili anisaidie maybe sielewi please!!View attachment 1568067
I've been asking myself the same question, may be cladding would make it to resemble the mountains.
 
View attachment 1568081
Mfano kama huu Denver International Airport

Yes! Kuna vitu vinaleta ukakasi sana kwenye mradi huu pendwa! Mfano mdogo waliposema station za katikati zinafanana kama kilemba Cha Mwanamke,! Tulimezea, Lakini hili la Morogoro kupigwa paa Mgongo wa Tembo alafu wanasema Milima Uruguru hii wadau mnaionaje!?? Au tumelala wakuu!??
 
Wajuvi kwakweli am good supporter of the thread, since then Lakini when comes to Morogoro station design, nashindwa kuwaelewa YAPI how does it resemble to Uruguru montains?!! Kichwa changu kinapiga shoti, Mwenye final prototype ya jengo hili anisaidie maybe sielewi please!!View attachment 1568067
subiri iishe bado inajengwa bro
 
Wajuvi kwakweli am good supporter of the thread, since then Lakini when comes to Morogoro station design, nashindwa kuwaelewa YAPI how does it resemble to Uruguru montains?!! Kichwa changu kinapiga shoti, Mwenye final prototype ya jengo hili anisaidie maybe sielewi please!!View attachment 1568067
hatujatoka kwenye reli bro👇👇
49C32705-AA99-425C-AC93-C595F9EE1508.jpeg
 
But it's okey as long as mtandao wa reli ndio kila kitu haya majengo ni vitu rahisi sana na pia hakuna jengo baya finishing ikismamia kucha!!!kama nikiwa stesheni ya Moro mimi ntapenda kukaa nje zaidi wapige landscape ya uhakika that view ya kuzungukwa na milima ya uluguru priceless!!! of course na kabia pembeni😛
 
Back
Top Bottom