Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mi
Screenshot_20200906-091903_1599373397445.jpg
Ccm hoyeeee😂😂😂
 
Na ndiyo wanaoongoza kuwa na id nyingi humu cz ni wahuni sn wakipigwa ban wanajua wataingia kwa id mpya, wanapenda mali zetu lkn hawajui jinsi ya kuishi na mwenye mali, yn kupitia hii battle na mitandao mingine ya kijamii nimewajua Wakenya kwamba ni wapumbavu sn na wasio na adabu wala utu, ss cjui huwa wanasoma nn huko shuleni.
Mkoloni aliondoka na akili zao.
 
Back
Top Bottom