Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobae
EhKlHoWWAAEX63_.jpg
 
hii wakuu wameisoma tayar

Kwani huyu haoni expansion ya Mwanza Airport iliyofanyika kwenye runway extension and cargo terminal? Ukiacha kuhitajika ujenzi wa PAX terminal, uwanja wa Mwanza ni appropriate for now! BTW the current Mwanza port facilities r underutilized a reason JPM is building more wagon ferries! au ndo yale mambo ya kuwa keyboard warrior? Alipokuwa waziri alifanya kitu gani cha maana huyu jamaa? Au kule Bumbuli kafanya nini cha maendeleo?

Na ni kwa nini hakushauri hilo kwenye kikao cha baraza la mawaziri?si alihudumu kama waziri kwenye awamu hii?shida ni kwamba hawa waliwaza Urais zaidi uko mbeleni...rizii alikuwa akiwapangia safu.
 
Back
Top Bottom