Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 616
- 997
Jombaa tz ni sheeda kwa mambo ya mpira kwa hapa Afrika mashariki na kati.Safi sn watu wameanza kuiga yaliyo mema kutoka Tz [emoji116][emoji116]View attachment 1560669
Jombaa tz ni sheeda kwa mambo ya mpira kwa hapa Afrika mashariki na kati.Safi sn watu wameanza kuiga yaliyo mema kutoka Tz [emoji116][emoji116]View attachment 1560669
wakurungu hapo akili zao zipo kati hapo [emoji23][emoji23][emoji23] Mungu kaumba matundu 7 ila mawili yatatutia lawamani
Hii Moro Dom hatuhitaji kuikarabati, inatakiwa iwe Dual carriage, nadhani hapa kuna marekebisho yatafanyikaIlani ya CCM upande wa Barabara naona wameamua kama noma na iwe Noma
2020-2025 View attachment 1560529View attachment 1560530
Hapo poa sanaNi double road
puani mawili[emoji23][emoji23][emoji23] mh sijawah kufikiria hayo matundu.. ebu yataje ase
Dah aisee Magufuli kaamua, itakuwa ni balaaIlani ya CCM upande wa Barabara naona wameamua kama noma na iwe Noma
2020-2025 View attachment 1560529View attachment 1560530
aka.chaka stateView attachment 1560843
Failed state
Hapa JPM nampa distinction
Middle income iliochangamka, wanafanya upembuzi wa barabara zingine 7500+km Ambazo zitakuja kujengwa 2025-2030Dah aisee Magufuli kaamua, itakuwa ni balaa
BRT watapiga hadi phase 4, nahisi phase 4 wataacha inajengwa,Ilani ya CCM upande wa Barabara naona wameamua kama noma na iwe Noma
2020-2025 View attachment 1560529View attachment 1560530
Mkuu nasikia ndio mpango huo, kuna barabara nyingi hasa zinazoingia kwenye majiji tetesi ni kwamba zitapigwa njia nne.Hii ya Chalinze - Moro - Dodoma ingepigwa double road ingekuwa poa sana. Haipendezi unatoka DSM na njia nane then chalinze mnaanza kupishana
i know this girl, she’s a finalist student at UDSM (Architecture, 5 years)
Yes nmeona,kutoka Dodoma DAR road km 50km inatanuliwaMkuu nasikia ndio mpango huo, kuna barabara nyingi hasa zinazoingia kwenye majiji tetesi ni kwamba zitapigwa njia nne.