game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,729
Huyo jamaa ni mjinga sana, yaani mpaka hapo ameharibu, he is trying to be on top of everything and everyone, yaani anajihakikishia ushindi kabla hata ya Mechi, poor Kenyans..Shida ya Kenya ni kutaka kuwa hub huku wakicompete na jirani zake Ethiopia na Rwanda halafu anamletea uhuni na dharau jirani yake mwenye soko kubwa kuliko wote EA
Sent using Jamii Forums mobile app