Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sindano kali hyooo[emoji23][emoji23]
Naona umeuruka mtego futi 20,
Narudia tena, unaziamini media za kenya?[emoji382][emoji382][emoji382]
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hzi hapa za kwenu zimeleta habari za kwenu
04ABA69E-3E5B-4BAC-8B17-88E925272C70.jpeg
 
Tuko kw wabunge[emoji23][emoji23]
Si hku mbunge kasema na hko mbunge kasema..
Si we umeamua tuendw kiwehu jamani, au zimeanza kurudi sawa
umesema zitto msomi jibu swali msomi wa wapi nasubiri majibu
 
umesema zitto msomi jibu swali msomi wa wapi nasubiri majibu
Emu nionyeshe nimesema wapi zitto msomi[emoji23][emoji23]
Naona umeshaanza kuchnaganyikiwa tayari..zitto kasema na nimbunge wa bunge la tanzania..

Polisi waliua watu na wakawazika
 
Sasa wanazilipia vipi hizo ndege 17 na hasara hii ya $132 mln?
Bank ambazo ndio zilikua zinawakopesha zililazimishwa kugeuza loans kuwa shares, sasa hivi hazikopeshi tena, kutokana na kutengeneza hasara kila mwaka, Hakuna mtu wala Bank yoyote iliyopo tayari kuikopesha KQ, ndio sababu wakataka kuirudisha serikalini ili ipangiwe bajeti na serikali, bahati mbaya serikali yenyewe haiwezi kulipa madeni yake, inadaiwa kuliko hiyo KQ, patamu hapo.
 
hilo swali muulize kenyatta akujibu kwann nchi inamiaka hamsini inamiliki ndege tatu [emoji28][emoji28] ohh nye nye sisi uchumi mavi ya kenge
Mkuu ichoboy chukua mtoto huyo anakuelewa sn huyu manzi [emoji116][emoji116]
Tulikopa wapi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna ripoti yako iko nusu nusu jamani msomi
 
Back
Top Bottom