Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania tunasifika sana, watanzania tu natakiwa kutembea kifua mbele sababu ya kuishi kwenye nchi yenye lowest cost of living na watoto wakali

Nimekutana na waafrika kutoka mataifa tofauti na wengi wamekuwa wakisifia Tanzania kwenye mambo mengi lakini pamoja na haya.
huyu jamaa atakuwa alipewa show .matata kutoka kwa mrembo.....

ni balaa mkuu
 
Hawa hapa Nyang'au wameanza kujipendekeza..










MY TAKE
Trick za kitoto sana...Our demands r pretty simple!
  1. No Air tanzania to Kenya's Nairobi, Mombasa, Eldoret and Kisumu no any airline from Kunyaland to be allowed to land in Tanzania!
  2. No free movement of Tanzanians in Kunyaland, no any airline from Kunyaland is to be allowed to land in Tanzania


nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
trick za kijinga...pumbavu bado saana...huku ndo kwanza tuko bize na kampeni..mambo ya diologue hakunaga
 
Tanzania tunasifika sana, watanzania tu natakiwa kutembea kifua mbele sababu ya kuishi kwenye nchi yenye lowest cost of living na watoto wakali

Nimekutana na waafrika kutoka mataifa tofauti na wengi wamekuwa wakisifia Tanzania kwenye mambo mengi lakini pamoja na haya.

Hahaha Tanzania Raha sana
 
Screenshot_20200902-081541.png
 
tazama kwanza hio ni nyumba au zizi la nguruwe alaf usikie wakikwambia juu ya GDP sasa 😂😂😂😂😂
Na hizi nguruwe husurvive aje huku
 

Attachments

  • Screenshot_20200902-135707.png
    Screenshot_20200902-135707.png
    263.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20200902-135714.png
    Screenshot_20200902-135714.png
    125.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom