Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajifanya chizi fresh wakat mbuge wenu anaongelea bungeni ulikua wapi [emoji23][emoji23][emoji23] unachoshangaa ni kwann munakiliki ndege 3 miaka 50 wakat magufuli miaka minne tayar kanunua ndege 11 brand new
Km vile zitto alivyoongea bungeni polisi wameua watu lukuki sijui mkoa gani mkaamua kumsweka ndani[emoji23][emoji23][emoji23]

Huku mbunge akiwa bungeni ana uhuru wa kuongea chochote na bila ya kupelekwa popote pale
 
Naona wenzako wankupumbaza na likes[emoji23][emoji23]
Loan tulichukua wapi?
yani loans ioneshwe alaf uniulize mm loan mulichukua wapi kwana wakat pesa za mikopo ya corona munachukua unajua zilienda wapi😂😂😂 unajitia upupu kichwani
 
Km vile zitto alivyoongea bungeni polisi wameua watu lukuki sijui mkoa gani mkaamua kumsweka ndani[emoji23][emoji23][emoji23]

Huku mbunge akiwa bungeni ana uhuru wa kuongea chochote na bila ya kupelekwa popote pale
mbona polisi akiua jambazi hamuongei au jambazi sio watu kwa vile mumezoea wizi ndio maana munaona ajabu
 
Tulikopa wapi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna ripoti yako iko nusu nusu jamani msomi
hilo swali muulize kenyatta akujibu kwann nchi inamiaka hamsini inamiliki ndege tatu 😅😅 ohh nye nye sisi uchumi mavi ya kenge
 
Wacha upimbi wewe, mwisho utataka kujua hadi kalamu iliyotumika kuandikia hizo loans. Lazima mkubali kwamba nchi yenu ni hovyo.

Huwa tukisema wakenya akili zenu ni ndogo sana mnahisi tunawatukana wakati huo ndio ukweli, ina maana wewe hujui kwamba KQ ilichukua loans nyingi toka katika Banks za ndani ya Kenya na ilishindwa kurudisha hizo pesa mwisho ikalazimisha hizo loans ziwe ndio "shares" za hizo Banks?, sasa hivi Banks zina share kubwa kutokana na KQ kushindwa kulipa.
Msaidie mwenzako na wewe, hzo ndege 20 za loan tulichukua wapi[emoji23][emoji23]
 
Tanzania inafuatiliwa sana duniani kwa sasa kutokana na kazi anazofanya Magufuli ni kazi za kipekee kabisa, Kenya tunawafuatilia kutokana na rushwa inayoongezeka, Corona inavyowavuruga na hali ya usalama inavyoendelea kuzorota
Tatizo ripoti inaongea tofauti, alafu hyo ya nynyi kufuatiliwa duniani labda taarifa ulitoa chato
 
yani loans ioneshwe alaf uniulize mm loan mulichukua wapi kwana wakat pesa za mikopo ya corona munachukua unajua zilienda wapi[emoji23][emoji23][emoji23] unajitia upupu kichwani
Sasa si wewe umesema 20 ni za loan[emoji23][emoji23]
Hapa leo hutoki, nina hamu sana leo yakukutoa mapovu
 
mbona polisi akiua jambazi hamuongei au jambazi sio watu kwa vile mumezoea wizi ndio maana munaona ajabu
Eti ajabu, swali ni mbna habari ya zitto ya mauaji unaikataa alafu uje uikubali ya mbunge wetu[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Sasa si wewe umesema 20 ni za loan[emoji23][emoji23]
Hapa leo hutoki, nina hamu sana leo yakukutoa mapovu
nimekwambia 20 leased
17 loan not yet paid
3 owned by kq now

unakwama wapi ??😀😀😀 miaka 50 mulikuwepo kwenye soko mukinya mavi tu leo loss inawatandika munaanza kutafuta mchawi
 
nimekwambia 20 leased
17 loan not yet paid
3 owned by kq now

unakwama wapi ??[emoji3][emoji3][emoji3] miaka 50 mulikuwepo kwenye soko mukinya mavi tu leo loss inawatandika munaanza kutafuta mchawi
Povuuuu!!leo naona nimekupata, twende baba wa kujitoa ufahamu
 
Malengo
Screenshot_2020-09-01-13-55-25.jpg
Screenshot_2020-09-01-13-57-01.jpg
 
Back
Top Bottom