Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu leo nimetoka TRA kulipia mzigo wangu toka China, katika kodi nilizolipa ni "Railway Development Levy", nikaambiwa hiyo ni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya reli hapa nchini, ni 1.5% ya thamani ya mzigo.

Japo nimelipa pesa nyingi Sana, lakini moyo wangu ni mweupe kwasababu ninajua pesa yangu inafanya kazi, pia inaiwezesha serikali yetu kuachana na mikopo isiyokua ya lazima. Viva Tanzania, Magufuli hoyeeeeeeee
Mungu ni Mkuu!!Hakika tutakimbia zaidi ya Kukimbia.....wish tungeweka hata sh 1 kwenye kila lita ya Mafuta zitumike kuweka bima ya Afya kwa kila Mtanzania...hii ni ndoto yangu..na hope one day
 
Ss nilipokuwa mdg hz kelele kwamba kenya ipo mbele ya Tz zilikuwa zinatoka wapi
Dis information mkuu..baada ya uhuru Mabwenyenye wengi walibaki Kunyaland, so ili kutokuamsha Hasira kwa wananchi wakaanza kuwaaminisha kwamba Kunya ni bora kuliko nchi yoyote ...now tuna media kila mahala....mchana kweupeee.
 
Back
Top Bottom