Wanabadilishana tu kutuongelea leo Mkenya kesho Mganda keshokutwa Mmarekani mara Mrusi bila kujua kwamba wanatuongezea idadi ya watalii hahahaha kweli usibishane na muda unapofika, hadi raha wajuba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wakenya wana maneno [emoji3][emoji3][emoji3]
r.i.p wacko jack daah huyo jamaa alikuwa ni kiboko[emoji3][emoji3].. nilijua ataingia na jet pack kama Wacko Jacko bana. Ila sio mbaya, ametisha.
Huyo mwamba hakuna mfanowe.r.i.p wacko jack daah huyo jamaa alikuwa ni kiboko