babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Ligi kuu ya mpira Tanzania ni moja Kati ya ligi zinazo fuatiliwa sana sasa hivi hapa Africa.
Uyu mjomba cjui atakuwa na miaka mingapi wallahi, haya ndo mambo tuliyakosa enzi zile, yn mambo mengi ya ajabu hayakuwa yakitangazwa duniani kuhusu Tz, wao walikuwa bize na upigaji tu km walivyo Wakenya, lkn leo nchi inag'aa kila kona aisee natumai tutafikia watalii milioni 4 soon tukiwa tunaitafuta milioni 6 Zen 10 km focus inavyosema.

Lile popoma halinaga akili.mk54 sijui yuko wapi akane hii mbona wamekimbia hawao jf badae utawaona na vipicha na miradi ya kifisadi
wenzetu wanaishia kuuona mlima wa majirani zao kwa mbaaaliHiyo ndo chemka,kilimanjaro

Wanajipa moyo ipo siku mpaka utarekebishwa na mlima kuwa ni wao, ndivyo wanafundishwa shuleni hivyowenzetu wanaishia kuuona mlima wa majirani zao kwa mbaaali![]()

Wanajipa moyo ipo siku mpaka utarekebishwa na mlima kuwa ni wao, ndivyo wanafundishwa shuleni hivyo![]()

Sisi covid tulishamaliza zaman..Sala +Watu washapata immunity