Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jambo moja ambalo linajitokeza ni kwamba, Magufuli anaanza kuamsha akili za wakenya ili nao waweze kutumia ubongo wao katika kutoa maamuzi, wakenya kawaida huwa wanasikiliza na kuwaiga wazungu katika mambo mengi Sana, wameanza kugundua umuhimu wa kutumia akili zao.
 
Zamani nilipanza kudili na wakenya nilifikiri ni baadhi tuu wenye tabia za kishamba shamba, la hawla lakatwa! Kumbe wengi wako hivyo (kama 95% hivi). Hawa watu ni kama nguruwe aisee, huwezi kudili nao kistaarabu mkaelewana, inabidi nawe uwe mchafuchafu.
siyo nguruwe ,
wakenya ni mavi kabisa ,, hivyo dawa ya mavi ni kuyanyea zaidi ili hata kama yamekauka kwa kupigwa na jua waendelee kunuka
Huwa ananishangaza ndg yng tuusan eti anaenda nao kistaarabu washenzi km hawa, tuusan anapenda diplomasia lkn mijitu yenyewe sio mistaarabu, utakuta likenya limetoa post ya kujigamba na kupotosha umma zen tuusan anakubaliana nalo lkn tuusan anatakiwa ajiulize ni lini mkenya amekubaliana naye kwa jambo lolote lile.

Ofcz simpingi mkuu tuusan kuwa fair but mijitu ynyw haipo fair kabisa so mkuu tuusan km vp hii mijitu ipotezee tuu mkuu.
 
Adjustments.jpg

Adjustments.jpg
 
Wakuu leo nimetoka TRA kulipia mzigo wangu toka China, katika kodi nilizolipa ni "Railway Development Levy", nikaambiwa hiyo ni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya reli hapa nchini, ni 1.5% ya thamani ya mzigo.

Japo nimelipa pesa nyingi Sana, lakini moyo wangu ni mweupe kwasababu ninajua pesa yangu inafanya kazi, pia inaiwezesha serikali yetu kuachana na mikopo isiyokua ya lazima. Viva Tanzania, Magufuli hoyeeeeeeee
 
True Patriotism

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu leo nimetoka TRA kulipia mzigo wangu toka China, katika kodi nilizolipa ni "Railway Development Levy", nikaambiwa hiyo ni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya reli hapa nchini, ni 1.5% ya thamani ya mzigo.

Japo nimelipa pesa nyingi Sana, lakini moyo wangu ni mweupe kwasababu ninajua pesa yangu inafanya kazi, pia inaiwezesha serikali yetu kuachana na mikopo isiyokua ya lazima. Viva Tanzania, Magufuli hoyeeeeeeee
Safi sana mkuu hizi levy zinamake sense sana awamu hii

Si unaona REA onavyokimbia sababu ya levy
 
Mwenzako kaweka ripoti isiyoendana na ulichokiandika, sasa kw kikao km chairman utamfanyaje
Mi naonelea asipate posho yake
report iko very open 👇👇👇😀😀
own only three aircrafts unless hujaelewa 😀😀😀😀😀

20 leased
17 loan and not yet paid and will never be paid
3 old aircrafts fully paid by kq

mbona majibu rahisi tu
 
Back
Top Bottom