joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Majibu ya maswali yenu ndio haya
Tanzania bans three more Kenyan airlines
Tanzania bans three more Kenyan airlines
Kwani wainnovate haya majengo ya kwao? Wenyewe ndio wanaamua yafanane na ya huko kwao. Poor KunyansNairobi
View attachment 1548398
London
View attachment 1548402View attachment 1548398View attachment 1548402
Copying n pasting,no innovation, yaani wakenya hovyo Sana!
Wakenya bwana,wanajivisha koti lisilo wakaa eti KLM yetuUnaumwa ww KLM unaijua ww? Kwahyo unataka kuniambia mnagawana pesa na KLM au co?
Huyuanayejiita sijui Corona anamatatizo kwenye lichwa chake. Tataizo la kunya kwenye mifuko alafu asubuhi unatupa barabaraniso KLM ni ya kwenu au nyinyi muna share KLM ewe MUNGU saidia wakenya aisee 😂😂😂😂
Alafu Hawa majirani zetu,hata hawafanyi editing! Yaani kitu kinatengwa Kama kilivyo,😅Kwani wainnovate haya majengo ya kwao? Wenyewe ndio wanaamua yafanane na ya huko kwao. Poor Kunyans
Wataisoma nambaBan zinaendelea tunasubiri kwa hamu kuona kifuatacho ni Wakenya warudi kwao![]()
Huo ni mwanzo tu
Achana na huyo manzi yeye kisa ndege yao KQ ipo chini ya KLM ndo wanadhani watapata pesa kupitia KLM yenyeweUnaumwa ww KLM unaijua ww? Kwahyo unataka kuniambia mnagawana pesa na KLM au co?
Kwanini unaukiza Kama anataka kutumia jeshi mkuu?Magufuli anataka hicho kipande cha Makutupora - Isaka wajenge jeshi?
Dah hii itakua bonge la project, kutoka Dar kwenda Mwanza itakuwa simplified sana ila pia Airtanzania itakula kwao kidogo since ndio their profitable route.
Kama miungu wao mabeberu wametii kwa tz unategemea nyangau afanye nini zaidi ya kuufyataTulisema humu kwamba tutabaki pekee etu wakabisha, ona sasa hata kwenye zile threads zingine za cost comparison na ile ya Tz kuwa mfano wa kuigwa pia wamekimbia ofcz wamekimbia humu Jf, unajua kwa ss Wakenya hawako vzr kisaikolojia na hii ni baada ya kuistukia serikali yao kwmb ni dhaifu mno hasa baada ya covid 19 na pia wamegundua kwamba raisi wao ni hovyo sn baada ya kumfanyia comparison na Magu, me nashangaa sana unamfanyiaje comparison Magu na Uhuru ilihali hata kagame ambaye kimsingi ni smart president pia hamuwezi Magu.
Sasa baada ya kuona Tz imewashinda kila mahali wamekuwa desperate na hawana hamu kabisa ya battle na we subiri uone wakichinjana uchaguzi ujao cz uhuru atataka kumuweka mtu wake ili amuhifadhi kwa madudu aliyoyafanya lkn Ruto pamoja na Wakenya wengi hawatakubali na ndipo moto utawaka, kwakweli tuwaombee tu kwa Mungu cz Magu hatojishughulisha nao atakaa kwa mbali akisubiri kupeleka misaada c unajua jemedari wetu alivyo na dharau![]()
ndiyo kwaanza mwezi wa 8 wa mwaka we waache huu mwaka watatii tu kama nilivyo waambia wakawa wanakejeliNiliwaambia huu mwaka mtatii hadi mabeberu watatiizidi kucheka upuzi ila watu wanakwepa jamiiforums kwasababu imejaa utoto siku hizi...imejaa imature guys of late na wale wamekomaa kiakili wanaenda mmoja mmoja wengi wao wakikimbilia skyscrapercity...skyscrapercity inavutia watu kwasababu haina utoto watu wako very mature kule.ikiendelea hivi jamiiforums itabaki watanzania pekee yake na kila ishara inaonesha inaelekea huko. food for thought
Majibu ya maswali yenu ndio haya
Tanzania bans three more Kenyan airlines
Sawa house girl wa Dubai tumekusikiaMbna povu
Dubai iache iitwe dubai tu jomba, hata mkeo akipata danga anachagua dubz
Mbna povu
Dubai iache iitwe dubai tu jomba, hata mkeo akipata danga anachagua dubz
kwani sio nairobi tena siku hizi!!