Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbukinya wote wamekimbia,kabakia mmoja tu komora...sasa nyie wakenya hamuwezi vita,mbona mwakata tamaa mapema sana na huko bado nyoka wa umeme hajaanza kutambaa,bwawa la nyerere bado halijaisha,brt phase 2 bado...komora we kaza unaweza kuwa rambo wa kenya au chuck norris

Wameanzisha Mgomo? huu utakua Phase 7. Watarudi tena wakitengeneza kitu cha kutudolishia.

Mfano: Mobius ikipata Order kadhaa
 
Itasababishaje foleni mkuu, kwn mwendokasi nazo c zinasimama kwenye mataa?
Samora mwendokasi zinasababisha foleni mpaka wameweka traffic lights. Samora/Morogoro road junction imekaa vibaya,huwezi kuona mwendokasi likija hadi ufike kwenye junction usimame kabisa,sasa fikiria kila gari inakuja inasimama kwanza ndio ipite,foleni yake kama hamna polisi ni balaa.
 
Wameanzisha Mgomo? huu utakua Phase 7. Watarudi tena wakitengeneza kitu cha kutudolishia.

Mfano: Mobius ikipata Order kadhaa
Tulisema humu kwamba tutabaki pekee etu wakabisha, ona sasa hata kwenye zile threads zingine za cost comparison na ile ya Tz kuwa mfano wa kuigwa pia wamekimbia ofcz wamekimbia humu Jf, unajua kwa ss Wakenya hawako vzr kisaikolojia na hii ni baada ya kuistukia serikali yao kwmb ni dhaifu mno hasa baada ya covid 19 na pia wamegundua kwamba raisi wao ni hovyo sn baada ya kumfanyia comparison na Magu, me nashangaa sana unamfanyiaje comparison Magu na Uhuru ilihali hata kagame ambaye kimsingi ni smart president pia hamuwezi Magu.

Sasa baada ya kuona Tz imewashinda kila mahali wamekuwa desperate na hawana hamu kabisa ya battle na we subiri uone wakichinjana uchaguzi ujao cz uhuru atataka kumuweka mtu wake ili amuhifadhi kwa madudu aliyoyafanya lkn Ruto pamoja na Wakenya wengi hawatakubali na ndipo moto utawaka, kwakweli tuwaombee tu kwa Mungu cz Magu hatojishughulisha nao atakaa kwa mbali akisubiri kupeleka misaada c unajua jemedari wetu alivyo na dharau
 
Jamaa ubunifu zero kabisa alafu wanajisifu wana elimu kubwa hapa EA hata mastesheni yao ya sgr wameiga from Chinese
Wametuzidi bidii tu sio elimu, n btw uzembe tunajitahidi kuachana nao Huo ndio ulitulostisha sana.Kingine naona wameongeza bidii sana kutafuna pesa za wanyonge na icho kitu kitawacost sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wameanzisha Mgomo? huu utakua Phase 7. Watarudi tena wakitengeneza kitu cha kutudolishia.

Mfano: Mobius ikipata Order kadhaa
zidi kucheka upuzi ila watu wanakwepa jamiiforums kwasababu imejaa utoto siku hizi...imejaa imature guys of late na wale wamekomaa kiakili wanaenda mmoja mmoja wengi wao wakikimbilia skyscrapercity...skyscrapercity inavutia watu kwasababu haina utoto watu wako very mature kule.ikiendelea hivi jamiiforums itabaki watanzania pekee yake na kila ishara inaonesha inaelekea huko. food for thought
 
Wameiga One World Trade Center Building, NY
Leo mm najikita kwenye majengo wanayoturingia humu tu
Nairobi
uaptowers.jpg

New york
GettyImages-960609922.jpg
 
Wameanzisha Mgomo? huu utakua Phase 7. Watarudi tena wakitengeneza kitu cha kutudolishia.

Mfano: Mobius ikipata Order kadhaa
Binafsi naona mods walishindwa ku moderate huu Uzi,unapata mtu ana sign I'd mpya then anaanza kupost picha zimejaa huku tangu 2016 (hii tabia iko na wakenya sanana)mfano ni hio ngombe hapo juu inajiita faoro kila kitu amepost hapa kilo hapa tangu 2016.ivi mbona kama mtu ako idle sana asichukue mda arejee kurasa SA nyuma ajifahamishe Kwanza kama vitu anapost ziko hapa?Mimi ningekuwa mods ukirudia picha ziko hapa nakupiga ban.otherwise huu Uzi ulikuwa poa sana mbeleni ukianza dar Vs nai,siku izi ni uharo mtupu!!
 
Wametuzidi bidii tu sio elimu, n btw uzembe tunajitahidi kuachana nao Huo ndio ulitulostisha sana.Kingine naona wameongeza bidii sana kutafuna pesa za wanyonge na icho kitu kitawacost sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Unajua mkuu uzembe wa watanzania uliletwa na viongozi, ni km walitusahau wananchi nasi tukabweteka lkn huyu jamaa ameweka discipline hakuna cha bure na anawahimiza wananchi wafanye kazi, cku hz wachuuzi wameongezeka maradufu utakuta msichana mrembo anauza machungwa barabarani na fresh tu yn ule uzembe wa kizamani kuchagua kazi umepungua kwa kiasi kikubwa sana WaTz wa ss wapo bize mno.
 
zidi kucheka upuzi ila watu wanakwepa jamiiforums kwasababu imejaa utoto siku hizi...imejaa imature guys of late na wale wamekomaa kiakili wanaenda mmoja mmoja wengi wao wakikimbilia skyscrapercity...skyscrapercity inavutia watu kwasababu haina utoto watu wako very mature kule.ikiendelea hivi jamiiforums itabaki watanzania pekee yake na kila ishara inaonesha inaelekea huko. food for thought
Binafsi naona mods walishindwa ku moderate huu Uzi,unapata mtu ana sign I'd mpya then anaanza kupost picha zimejaa huku tangu 2016 (hii tabia iko na wakenya sanana)mfano ni hio ngombe hapo juu inajiita faoro kila kitu amepost hapa kilo hapa tangu 2016.ivi mbona kama mtu ako idle sana asichukue mda arejee kurasa SA nyuma ajifahamishe Kwanza kama vitu anapost ziko hapa?Mimi ningekuwa mods ukirudia picha ziko hapa nakupiga ban.otherwise huu Uzi ulikuwa poa sana mbeleni ukianza dar Vs nai,siku izi ni uharo mtupu!!
 
zidi kucheka upuzi ila watu wanakwepa jamiiforums kwasababu imejaa utoto siku hizi...imejaa imature guys of late na wale wamekomaa kiakili wanaenda mmoja mmoja wengi wao wakikimbilia skyscrapercity...skyscrapercity inavutia watu kwasababu haina utoto watu wako very mature kule.ikiendelea hivi jamiiforums itabaki watanzania pekee yake na kila ishara inaonesha inaelekea huko. food for thought
Jamiiforums imejaa utoto na bado upo humu!

Wewe uliekomaa kiakili funga account na uondoke uende huko kwa waliokomaa kiakili,

Kazi ni kudhurura kwenye forums za nchi zingine...kwani nchi yenu hakuna forums!
 
Itasababishaje foleni mkuu, kwn mwendokasi nazo c zinasimama kwenye mataa?
Lengo la mwendokasi ni kupunguza foleni, na ufanisi wake ni pale phases zote zitakapokamilika, mwendokasi si kwamba haisimami kwenye taa ila ina njia yake maalumu haisimami pamoja na magari mengine so haiwezi tengeneza foleni.
 
Kabisa bro,Uzembe umetufanya tunaonekana hatujasoma...Tukaze buti zaidi
Unajua mkuu uzembe wa watanzania uliletwa na viongozi, ni km walitusahau wananchi nasi tukabweteka lkn huyu jamaa ameweka discipline hakuna cha bure na anawahimiza wananchi wafanye kazi, cku hz wachuuzi wameongezeka maradufu utakuta msichana mrembo anauza machungwa barabarani na fresh tu yn ule uzembe wa kizamani kuchagua kazi umepungua kwa kiasi kikubwa sana WaTz wa ss wapo bize mno.
Kabisa bro,Uzembe umetufanya tunaonekana hatujasoma...Tukaze buti zaidi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
zidi kucheka upuzi ila watu wanakwepa jamiiforums kwasababu imejaa utoto siku hizi...imejaa imature guys of late na wale wamekomaa kiakili wanaenda mmoja mmoja wengi wao wakikimbilia skyscrapercity...skyscrapercity inavutia watu kwasababu haina utoto watu wako very mature kule.ikiendelea hivi jamiiforums itabaki watanzania pekee yake na kila ishara inaonesha inaelekea huko. food for thought

😆😂😂😂😂

Poleni sana. I can feel your pain and anger guys. But kukimbia sio suluhisho..embrace the facts na maisha yaendelee. Najua dose ni kali sana hamuamini mlichokutana nacho, next time msirudie kuchokoza wakubwa zenu kisa wako kimya unachukulia poa.
 
Back
Top Bottom