Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwani sio nairobi tena siku hizi!!
Tunawapiga sindano mpk wanauogopa uzi eti wanasingizia uzi una utoto hahahaaa Wakenya kweli wamejichokea yn humu wapo watu na akili zao watu na kazi zao watu na familia zao wanatoa madini ambayo hata WaTz wengi walikuwa hawajui mpk wameelewa kwmb kenya ni mimavi mitupu mbele ya Tz eti wanaleta execuses za kitoto kabisa
 
kifinyo kinaanza kuhamia Twitter na youtube

yaani unawezakuta comment 50. 35 ni watz wako bampa to bampa na wakenya 15 hao wanaotaka kupotosha mambo.

kitu pekee mkenya aliyepo humu anachoweza kufanya ainusuru nafsi yake, ni kufanya kama hajawahi kabisa kuwepo jf,lakini anajikuta anashindana na nafsi yake, inamwambia "mwaaisa hivi kweli unataka kulefti halafu uende wapi"
 
Ndivyo walivyo hao, hiyo ni official, hukumbuki Macharia aliposema mgogoro na Tanzania umekwisha na KQ itaruhusiwa kuingia Kenya, jiulize alitoa kauli ile kwa misingi gani wakati mgogoro ndio unaongezeka?
Yn kwa jinc nilivyokuwa naichukulia kenya hapo mwanzo na ss nimekuja kugundua nilikuwa mbali sn na ukweli, yn hii nchi ni takataka kabisa failed and the worst country ever in the world.
 
Mimi Kenya ninaijua vizuri sana, nina asili ya huko na ukoo wetu 20% bado ipo Kenya, Kenya ni nchi ya hovyo kuliko hata unavyoijua sasa hivi, bado hujaijua pamoja na kwamba umeanza kupata japo idea.
 
Vitabu vya "Not yet Uhuru & This time tomorrow " ndio vitakupa picha halisi ya Kenya. Ila usikubali kwenda kuishi Kenya ni nchi hatari Sana, bora kujenga nyumba katikati ya mbuga ya wanyama unaweza kuwa na amani kuliko Kenya, wakati wowote wanaweza kukua kama kuku.
 
Kenya is Somalia like country Wakenya ni wapumbavu sn cwez ishi iyo nchi.
 
Back
Top Bottom