Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili ni tatizo la waafrika, mfano kwa kenya maeneo ambayo wanaishi foreigners wanejenga kimpangilio lkn maeneo wanayoishi Wakenya yako hovyo mno, so hii inaleta picha ni kiasi gani Wakenya wako hovyo sn najaribu kuwaza km Wakenya wangekuwa na mamlaka ya kujijengea watakavyo km WaTz basi kenya ingekuwa ni zaidi ya nchi chafu duniani.
Wazungu walipoenda, hizo posho areas zote 98% ni Kenyans. Nyinyi huwa mnadhani Kenya bado ina wazungu.
1999 we had Over 500,000 American/Europeans in Kenya. 2019, only a paltry 25000 all over Kenya. Nairobi has as little as 2000 most Europeans in Kenya are found in Malindi, Mombasa, Lamu, along the coast.
 
ulichokiongea ni kweli kabisa ......na wanalijua hilo...

wakitoa fursa zaidi aiseee hadi nyumba za mabox tutaziona
 
Wanjala anapenda sana kuharibu heshima yake. Oh kakamega sijui uchafu gani anongelea hapa.View attachment 1545685View attachment 1545687
Manake niseme hutaki kuacha ujinga ni,
Hii ni Bukhungu Stadium some few years ago.
IMG_20200823_115045.jpg

Now Bukhungu is under construction to be an international stadium.
Screenshot_20200822-145225~2.png
IMG_20200823_115445.jpg

So next year tukipost Bukhungu, Wewe utashinda na hiyo picha ya kitambo!?

Hata mimi nikipost picha toka Dar, huwa nachukua latest. Sababu hiyo ndiyo uhalisia.
Kakamega before devolution was like this
IMG_20200823_115249.jpg

But now there is order. Same to all regions of Kenya that have changed the last 10 years after devolution.
Kakamega sahi hamuwezi.
IMG_20200823_115747.jpg
IMG_20200823_115751.jpg
IMG_20200823_115735.jpg
IMG_20200823_115740.jpg
IMG_20200823_115620.jpg
IMG_20200823_114938.jpg
 
Manake niseme hutaki kuacha ujinga ni,
Hii ni Bukhungu Stadium some few years ago.
View attachment 1545724
Now Bukhungu is under construction to be an international stadium.
View attachment 1545725View attachment 1545726
So next year tukipost Bukhungu, Wewe utashinda na hiyo picha ya kitambo!?

Hata mimi nikipost picha toka Dar, huwa nachukua latest. Sababu hiyo ndiyo uhalisia.
Kakamega before devolution was like this
View attachment 1545727
But now there is order. Same to all regions of Kenya that have changed the last 10 years after devolution.
Kakamega sahi hamuwezi.
View attachment 1545730View attachment 1545731View attachment 1545732View attachment 1545733View attachment 1545734View attachment 1545737
Kwahiyo residential areas za kakamega now zimekuwa roads, wanjala unakazi kubwa mkuu
 
You people don't understand the issue with slums in Nairobi.

During colonial era, Europeans needed workers ambao hawaishi nao sehemu moja, sasa wakawa wanatenga sehemu Waafrika weusi ambao ndio wanawafanyia kazi kujenga makaazi duni ya muda kando na wanapoishi wazungu. Hivyo ndivyo Slums zilianza.

Uelewe kwamba, Kibera, Mukuru, ni shamba la Serekali, serekali ikiamua inawafurusha wote. Sasa huwezi jenga permanent kwa shamba si lako.

Kuna serikali itakuja kuwatoa. Kibera haswa ilipewa wanubi kuishi tu maana walikuwa kama wakimbizi.
Wacha kudanganya watu, soma Kitabu cha "This time tomorrow " na " Not yet Uhuru" vyote vimeandikwa na watu mashuhuri na wazee wa Kenya ambao walikuwepo wakati hizo slums zinaanzishwa, sera ya ubepari na uongozi wa kijinga wa mzee Jommo Kenyatta ndio sababu kubwa ya hizo slums.
 
This is my Ushago. Show me yours!?
Am leaving in Kakamega. My house has unlimited WIFI connectivity, water and electricity. I enjoy good roads better than those in your City Dar es Salaam.
This is my Ushago. Kakamega Town.
View attachment 1545248View attachment 1545250View attachment 1545251
Mm napotoka haikusu sababu utapat headech tu....Kwaiyo icho kipande cha double road ndio kimeku changany....tunajua kakamega ipo kisumu so sitashanga ikiwa ni vibanda kama hivyo viwil vitatu....kwani nyie water; internet na electricity ni tabu sana...mpka unajisifia utafikiri umeshika jiwe la tanzanite...aaah kumbe mko na shida sana kupat hizo huduma
Hizi ni roads za makambako.....sijui unakingine
20200823_122908.jpg
Screenshot_20200823-123937.jpg
 
Hawa jamaa kiukweli hatufanani nao hata kidogo, kilichokuwa kinawaaminisha watu wadhani wametuzd ni miundombinu pale Nairobi hasa hasa kile ki flyover cha matofali na kile kingine na mwisho kale ka road kao ka thika ambapo zote hzo tushalipa na wamebakiwa na deni la three level interchange na gape lingine la electric train ambalo hawawezi kulilipa kwa kizazi cha walevi km hiki but kwa maisha ya kawaida kiukweli tumewaacha mbali mnooo.
Dar inaingia mombasa kimiundombinu
 
Wazungu walipoenda, hizo posho areas zote 98% ni Kenyans. Nyinyi huwa mnadhani Kenya bado ina wazungu.
1999 we had Over 500,000 American/Europeans in Kenya. 2019, only a paltry 25000 all over Kenya. Nairobi has as little as 2000 most Europeans in Kenya are found in Malindi, Mombasa, Lamu, along the coast.
0.2% ya Kenyans ni wazungu, sawa na 103,000

65% ya ardhi nzuri yenye rutuba ipo mikononi mwa wazungu 36 pekee

Wacha kudanganya watu
 
Wanjala unamuongopea nani wewee, kenya nzima ni uharo tu picha unazoweka hapa tunazijua ulichofanya ni kupaka shedo tu na kuchukua baadhi ya maeneo ambayo angalau kdg yana muonekano mzuri but mbele kdg tu ni uharo na bati after bati km kawaida.

Kakamega hiyo hapo View attachment 1545279View attachment 1545280View attachment 1545281
Umeumia sana mazee
Siku zote ilikua unauliza km katiba mpya imesaidia nn..
Angalia raha ya devolution hyokila county inajiinua kivyake
 
Umeumia sana mazee
Siku zote ilikua unauliza km katiba mpya imesaidia nn..
Angalia raha ya devolution hyokila county inajiinua kivyake
Yn wewe komora ndiyo the dumbest creature in this forum, haya niambie hyo devolution iko wp.
 
Ushuzi mwingine huo hapo unaitwa kimilili, yn wanaposema Tz has the most urbanized regions across EAC tuwe tunaelewana, hawa wengine maendeleo yameji concentrate kwa mji mmoja tu kwengine ni shuzi la tembo.

Kimilili hii hapa ambayo wanjala anaicfia ina better roads View attachment 1545293View attachment 1545294View attachment 1545295View attachment 1545296
Kazurure google
Huku ukikwepa current videos, sasa angalia umeumbuka..mabasi ya eldoret expresa sijui yamekufa lini
 
Back
Top Bottom