This area. CBD. Has no competitor in east and central Africa.
hapa nakuunga mkono
Nchi inategemea grants
outering road nairobi
View attachment 1545684
You people don't understand the issue with slums in Nairobi.Wanjala kenya eneo kubwa bado ni pori mkuu huwezi kufananisha na Tz hususan Dar, kitu pekee ambacho huwa nakisema humu ni ukweli usiopingika kwamba maeneo mengi ambayo kidogo kenya mmejitahd kujenga mmejenga kwa mpangilio ukiacha maeneo ya slums but Tz wananchi wamejitahidi sana kujenga lkn sio kwa mpangilio mzuri yn wananchi wameachwa wajenge wanavyojua wao kiasi cha kwamba unakuta nyumba nyingi zilizo residential area ni nzr lkn muonekano wake ni mbaya, hili jambo linanikera sn mm ndo mana huwa nasema viongozi waliopita walikuwa ni km wanacheza tu mipango miji wapo na tunawalipa mishahara lkn waliacha wananchi wakajijengea wanavyojua wao yn inakera sana.
Wanjala anapenda sana kuharibu heshima yake. Oh kakamega sijui uchafu gani anongelea hapa.View attachment 1545685View attachment 1545687



Nawe huchoki kuwa mjinga!?Wanjala anapenda sana kuharibu heshima yake. Oh kakamega sijui uchafu gani anongelea hapa.View attachment 1545685View attachment 1545687
This area. CBD. Has no competitor in east and central Africa.
View attachment 1545680View attachment 1545681
Hili ni tatizo la waafrika, mfano kwa kenya maeneo ambayo wanaishi foreigners wanejenga kimpangilio lkn maeneo wanayoishi Wakenya yako hovyo mno, so hii inaleta picha ni kiasi gani Wakenya wako hovyo sn najaribu kuwaza km Wakenya wangekuwa na mamlaka ya kujijengea watakavyo km WaTz basi kenya ingekuwa ni zaidi ya nchi chafu duniani.You people don't understand the issue with slums in Nairobi.
During colonial era, Europeans needed workers ambao hawaishi nao sehemu moja, sasa wakawa wanatenga sehemu Waafrika weusi ambao ndio wanawafanyia kazi kujenga makaazi duni ya muda kando na wanapoishi wazungu. Hivyo ndivyo Slums zilianza.
Uelewe kwamba, Kibera, Mukuru, ni shamba la Serekali, serekali ikiamua inawafurusha wote. Sasa huwezi jenga permanent kwa shamba si lako.
Kuna serikali itakuja kuwatoa. Kibera haswa ilipewa wanubi kuishi tu maana walikuwa kama wakimbizi.
Niangalie nini hii si ile ushagooAcha pupa na hasira. Angalia tena hiyo street, ujue ina nini na nini kabla kunijazia vipicha hapa.
tu au...endelea kupost uchafu ukifkiri hatujui😂😂Sumbawanga hahahaha enhe.