Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nasubiria wa Dodoma Kwa hamu..one thing i wish more from Tz football.ni CCM owned stadium should be imrpoved regurally to upgarde football standards for our league..sio kwamba ni vibaya but they can do major improvement to their stadiuims like Kirumba to start with...

2 .Kila timu wawezeshewe hata na serikali kwa kupewa maeneo waendeleze viwanja vyao wenyewe ...kidogo kidogo. .maeneo yapo makubwa ila sidhani kama timu nyingne zinauwezo bado..akitokea tajiri mkubwa anaweza invest kwenye timu nyingine..labda Namungo ila hvyo hvyo mdogo mdogo

3..Wizara ya Michezo ..inongezewe budget iwekeze sector nyingine kama Basketball, Swimming ,Volleyball, Ngumi etc kwa kujenga indoor and outdoors auditorium na facilities za michezo hii hata Dodoma , Mwanza , Mbeya, to start with
 
Well said.
 
Wakenya waliojanjaruka
IMG-20200822-WA0020.jpg
 
mimi nimekulia maeneo ya mipakani na nyie so nyie ndio majirani ninaowafahamu kuliko wote tuliopakana nao na ninaposikia kuhusu mombasa nilichoaminishwa na wakenya wengine ni kuwa watu wa mombasa wanaridhika na vitu vidogo, ni washamba, wanaendekeza dini, wanapenda mteremko na ngono

Kumbe ulikulia dzariguta
Hao watu wa mipakani ndio wamekukaririsha hvyo wakati wao kuja mombasa kufanya vibarua ndio wanajikuta washatusua..
 
Well said.
You know whats so scary man..
Hizi project zote za Tz inafanya now ..ni most kutokana na revenues na nyingne some ni loans
.but we havent even started exploiting revenues of other things...
Ukiachana na Mining amabayo tax contribution yake imefika 500bil tsh + this year of tax revenues ..excluding contribution yake kwenye GDP in next 5 years it will clock 1trillion ya Tax

1..Hatujaanza Kumine Iron ya Liganga , na Kuiprocess
2..Natural Gas ya Offshore haijajengewa LNG..ku i export na kuiprocess
3..Tourism Western circuit na Southern hazijafika its maximum potential let alone minimum potential
4..Holticulture inaweza kutupa $5billion ndo tuko 800mil$ ..
5...Transport sector ndo tunaendelea ku link up vizuri..kuna SGR..Ports underexpansion na nyingine za Ku link na DRC, Air Tanzania to be great,
6..We just need to tap into this potentials and use them we as Tanzanians..while our country is developing ..soon Transport Sector might reach toursim in temrs of export receipts $ ..
 
Kila watu wana serekali yao, sasa unataka watu wa mombasa au nairobi waandamane kisa wenzao hawajalipwa hku ukiwa tayari wewe ushalipwa..
Never!!kila watu wapambane na county yao, hta wengine pia wana matatizo yao
Ss cc hatupo hvyo ndo mana tunawashangaa, cc co wanyama km ninyi, mTz wa Dar akickia mTz wa Lindi hajalipwa pesa yake ya korosho roho inamuuma na lazima aseme tofauti na nyie ni wabinafsi sana mara nyingi humu kina teargass wamekuwa wakiiponda Mombasa as if haipo kenya nawe pia mara nyingi umekuwa ukiikataa nairobi, kwa style hyo msitegemee kuungana na Tz eti EAC never, yn mtuletee ufalamanga wenu I reiterate never!!!!
 
huwa nasemaga.. mpira wa miguu Tanzania tunaupenda na tumeshauweka moyoni kbsa .. kilichobaki ni serikali ni kujenga viwanja kama hiv miji mikuu kwanza kama mitatu hiv.. Dodoma, Morogoro, Mbeya au Mwanza au Arusha kule

nashukuru Magu alisema, hata polepole juzi alisema secta ya michezo imehusika sana na kukua kwa uchumi, hivyo hataiacha hivhiv bila kufanya kitu awamu hii inayofuata
 
You know whats so scary man..
Hizi project zote za Tz inafanya now ..ni most kutokana na revenues na nyingne some ni loans
.but we havent even started exploiting revenues of other things...
Ukiachana na Mining amabayo tax contribution yake imefika 500bil tsh + this year of tax revenues ..excluding contribution yake kwenye GDP in next 5 years it will clock 1trillion ya Tax

1..Hatujaanza Kumine Iron ya Liganga , na Kuiprocess
2..Natural Gas ya Offshore haijajengewa LNG..ku i export na kuiprocess
3..Tourism Western circuit na Southern hazijafika its maximum potential let alone minimum potential
4..Holticulture inaweza kutupa $5billion ndo tuko 800mil$ ..
5...Transport sector ndo tunaendelea ku link up vizuri..kuna SGR..Ports underexpansion na nyingine za Ku link na DRC, Air Tanzania to be great,
6..We just need to tap into this potentials and use them we as Tanzanians..while our country is developing ..soon Transport Sector might reach toursim in temrs of export receipts $ ..
Alafu mtu ashindwe kuamini ni kwa nini sisi tunataka kuwa Km Ulaya..
 
GDP itapaa tuki-exploit our untapped resources. Na fursa za kiuchumi kwa watanzania Zitaongezeka. JPM anafanya miundombinu ya hali ya juu kuhakikisha tunaelekea huko. Kwa mfano SGR ya Mtwara- Mbamba bay itakuwa na njia ya kwenda kwenye machimbo ya Liganga na Mchuchuma. Cargo plane za ATCL zitasaidia kupeleka exports zetu abroad hasa za horticulture. Road construction everywhere itasaidia kusafirisha mizigo swiftly and efficiently kutoka kwenye bandari zetu ambazo nazo zinafanyiwa major upgrades. Tukae mkao wa kula.
 
Nasubiria wa Dodoma Kwa hamu..one thing i wish more from Tz football.ni CCM owned stadium should be imrpoved regurally to upgarde football standards for our league..sio kwamba ni vibaya but they can do major improvement to their stadiuims like Kirumba to start with...

2 .Kila timu wawezeshewe hata na serikali kwa kupewa maeneo waendeleze viwanja vyao wenyewe ...kidogo kidogo. .maeneo yapo makubwa ila sidhani kama timu nyingne zinauwezo bado..akitokea tajiri mkubwa anaweza invest kwenye timu nyingine..labda Namungo ila hvyo hvyo mdogo mdogo

3..Wizara ya Michezo ..inongezewe budget iwekeze sector nyingine kama Basketball, Swimming ,Volleyball, Ngumi etc kwa kujenga indoor and outdoors auditorium na facilities za michezo hii hata Dodoma , Mwanza , Mbeya, to start with
Mkuu mm mda mrefu nimekuwa na Idea kwa hz tm zetu hz kuhusu kujitegemea, mfano niichukilie tm yangu pendwa ya Yanga wanashindwa nn kujenga uwanja? Tm yenye rasilimali watu km Yanga? Wafanye hv

Waingie ubia na benki flani mfano crdb au nmb zen kupitia benki husika wawahimize washabiki wa Yanga wachukue kadi ya kielektroniki ya Yanga ambayo kupitia hyo kadi shabiki ataweza ku deposit au ku withdraw amount kwenda au kutoka benki.

Hizo kadi zitolewe bure ila ziwe na kianzio fulani ambacho hakitakuwa kikwazo kwa shabiki kumiliki, yn hyo kadi ipatikane ktk kila branch ya benki husika nchi nzima na washabiki wahimizwe nchi nzima kupitia vyombo vyote vya habari.

Baada ya hapo Yanga iwe ina hakiki idadi kamili ya mashabiki zen Yanga wachukue mkopo toka benki husika kwa kuanzia inaweza kuchukua hata bilioni 30 zen watafute eneo ambalo km wataomba serikalini watapewa bure, zen watangaze tenda ma engineer wajenge uwanja.

Wakati uwanja unajengwa kuwe na update za kila mara zikionesha hatua za ujenzi na hapo hapo mashabiki wahimizwe wawe wanachangia rejesho, mfano kima kiwe kuanzia elfu moja yn kila mwezi shabiki awe anachangia buku kima cha chini ili tuwe tunarejesha rejesho.

Hiyo accnt ya rejesho iwe wazi yn kiasi mtu akichangia akione live bila chenga, hv unadhani kwa mshabiki wa kweli atashindwa kuchangia tm yake wakati uwanja anauona? Na nadhani WaTz nadhani wanajulikana kwa mapenzi ya kweli pale anapoona ukweli umetawala ktk jambo fulani.

Hiyo bilioni 30 unapata uwanja mzr tu wa kuanzia ambapo baada ya kukamilika na kumaliza deni tutauongeza taratibu kulingana na mahitaji mpk tunakuwa na uwanja wa kimataifa, hilo nalo linatushinda kweli mpk tm zetu kubwa hivi zenye mvuto na credibility ya kutosha zinakosa viwanja???
 
huwa nasemaga.. mpira wa miguu Tanzania tunaupenda na tumeshauweka moyoni kbsa .. kilichobaki ni serikali ni kujenga viwanja kama hiv miji mikuu kwanza kama mitatu hiv.. Dodoma, Morogoro, Mbeya au Mwanza au Arusha kule

nashukuru Magu alisema, hata polepole juzi alisema secta ya michezo imehusika sana na kukua kwa uchumi, hivyo hataiacha hivhiv bila kufanya kitu awamu hii inayofuata
Unajua uwanja wa Mwanza wa CCM Kirumba ni rahisi sana kuwa modernized na ukawa kama wa Dar!
 
Back
Top Bottom