Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu mm mda mrefu nimekuwa na Idea kwa hz tm zetu hz kuhusu kujitegemea, mfano niichukilie tm yangu pendwa ya Yanga wanashindwa nn kujenga uwanja? Tm yenye rasilimali watu km Yanga? Wafanye hv

Waingie ubia na benki flani mfano crdb au nmb zen kupitia benki husika wawahimize washabiki wa Yanga wachukue kadi ya kielektroniki ya Yanga ambayo kupitia hyo kadi shabiki ataweza ku deposit au ku withdraw amount kwenda au kutoka benki.

Hizo kadi zitolewe bure ila ziwe na kianzio fulani ambacho hakitakuwa kikwazo kwa shabiki kumiliki, yn hyo kadi ipatikane ktk kila branch ya benki husika nchi nzima na washabiki wahimizwe nchi nzima kupitia vyombo vyote vya habari.

Baada ya hapo Yanga iwe ina hakiki idadi kamili ya mashabiki zen Yanga wachukue mkopo toka benki husika kwa kuanzia inaweza kuchukua hata bilioni 30 zen watafute eneo ambalo km wataomba serikalini watapewa bure, zen watangaze tenda ma engineer wajenge uwanja.

Wakati uwanja unajengwa kuwe na update za kila mara zikionesha hatua za ujenzi na hapo hapo mashabiki wahimizwe wawe wanachangia rejesho, mfano kima kiwe kuanzia elfu moja yn kila mwezi shabiki awe anachangia buku kima cha chini ili tuwe tunarejesha rejesho.

Hiyo accnt ya rejesho iwe wazi yn kiasi mtu akichangia akione live bila chenga, hv unadhani kwa mshabiki wa kweli atashindwa kuchangia tm yake wakati uwanja anauona? Na nadhani WaTz nadhani wanajulikana kwa mapenzi ya kweli pale anapoona ukweli umetawala ktk jambo fulani.

Hiyo bilioni 30 unapata uwanja mzr tu wa kuanzia ambapo baada ya kukamilika na kumaliza deni tutauongeza taratibu kulingana na mahitaji mpk tunakuwa na uwanja wa kimataifa, hilo nalo linatushinda kweli mpk tm zetu kubwa hivi zenye mvuto na credibility ya kutosha zinakosa viwanja???
Japokuwa mimi ni Simba dam dam, hiyo idea yako ni nzuri sana, ngoja nimwambia Manara tuje tuwapiku. 🙂
 
Kama kawaida yale malori ya mizigo yaliyobadilishwa na kuwa mabasi ya kubeba abiria.
Hawa jamaa kiukweli hatufanani nao hata kidogo, kilichokuwa kinawaaminisha watu wadhani wametuzd ni miundombinu pale Nairobi hasa hasa kile ki flyover cha matofali na kile kingine na mwisho kale ka road kao ka thika ambapo zote hzo tushalipa na wamebakiwa na deni la three level interchange na gape lingine la electric train ambalo hawawezi kulilipa kwa kizazi cha walevi km hiki but kwa maisha ya kawaida kiukweli tumewaacha mbali mnooo.
 
Japokuwa mimi ni Simba dam dam, hiyo idea yako ni nzuri sana, ngoja nimwambia Manara tuje tuwapiku. 🙂
nataka kuipeleka makao makuu pale jangwani ila tatizo viongozi wa kiafrika rushwa imewajaa wanajifikiria wao tu pia wanapenda mafanikio ya haraka sidhani kama watafanya hivi.
 
Pia mkuu mm nna plan nyingi sana kuhusu tm yng ya Yanga km wakipata muda wa kunisikiliza kwa makini miaka kumi ijayo yanga itakuwa ni daraja la wachezaji makinda wa kitanzania kwenda Europe.
 
nataka kuipeleka makao makuu pale jangwani ila tatizo viongozi wa kiafrika rushwa imewajaa wanajifikiria wao tu pia wanapenda mafanikio ya haraka sidhani kama watafanya hivi.
Hili la tatizo la uongozi ni kweli kabisa, nakumbuka akina Rage na Ndolanga walivyoifanya FAT yao na kuwaibia wachezaji pesa zao za CAF.

Kuwapa kadi za kieletroniki itakuwa ni rahisi sana kuwatumia mashabiki kama leverage, hata kuombea mkopo benki kwa kutumia kigezo cha idadi ya wanachama na ukitaka kuchangisha pesa unatuma tuu ujumbe kwa wanachama, hela inaingia.
 
Ilula-Iringa Tanzania 👇
84334250_232405001120336_7258494997426712082_n (1).jpg
88134989_106991704131084_3880173610041494791_n.jpg
 
Hili la tatizo la uongozi ni kweli kabisa, nakumbuka akina Rage na Ndolanga walivyoifanya FAT yao na kuwaibia wachezaji pesa zao za CAF.

Kuwapa kadi za kieletroniki itakuwa ni rahisi sana kuwatumia mashabiki kama leverage, hata kuombea mkopo benki kwa kutumia kigezo cha idadi ya wanachama na ukitaka kuchangisha pesa unatuma tuu ujumbe kwa wanachama, hela inaingia.
Mm huwa nashangaa sana tm tajiri km simba na yanga zinakosaje viwanja vya kisasa ambapo utajiri wake km zitaamua czan km mtu km Bakhressa anaweza akatia mguu, hata wakisema wenye kadi ya kielektroniki ya yanga kila wiki wachangie kima cha chini 1000 inawezekana mana buku ni ndogo sana hata kwa mtu wa kawaida isitoshe mtu akiona uwanja unajengwa anapata hamasa, na hapo cjawagusa wenye pesa zao km kina GSM, Kikwete au Tarimba cz hzo kadi ziwe tofauti ziwepo za royal ambao watachangia kila wiki minimum elfu 10 na zile za ordinary ambapo wataanzia 1000, tunajenga uwanja kabisaa mkuu tena wa kisasa kabisa.
 
Few kilometers from upperhill View attachment 1540490
The first time i passed near by this slum on my way to Karen in 2007 (during the General election) I thought I was lost (not in Kenya). I could not believe what I saw with my two naked eyes, I was shocked to see such kind of poor human settlement in the city that boasted to be a developed one in the region! I was really saddened by this kind of mabanda ya nguruwe settlement.
 
Mkuu mm mda mrefu nimekuwa na Idea kwa hz tm zetu hz kuhusu kujitegemea, mfano niichukilie tm yangu pendwa ya Yanga wanashindwa nn kujenga uwanja? Tm yenye rasilimali watu km Yanga? Wafanye hv

Waingie ubia na benki flani mfano crdb au nmb zen kupitia benki husika wawahimize washabiki wa Yanga wachukue kadi ya kielektroniki ya Yanga ambayo kupitia hyo kadi shabiki ataweza ku deposit au ku withdraw amount kwenda au kutoka benki.

Hizo kadi zitolewe bure ila ziwe na kianzio fulani ambacho hakitakuwa kikwazo kwa shabiki kumiliki, yn hyo kadi ipatikane ktk kila branch ya benki husika nchi nzima na washabiki wahimizwe nchi nzima kupitia vyombo vyote vya habari.

Baada ya hapo Yanga iwe ina hakiki idadi kamili ya mashabiki zen Yanga wachukue mkopo toka benki husika kwa kuanzia inaweza kuchukua hata bilioni 30 zen watafute eneo ambalo km wataomba serikalini watapewa bure, zen watangaze tenda ma engineer wajenge uwanja.

Wakati uwanja unajengwa kuwe na update za kila mara zikionesha hatua za ujenzi na hapo hapo mashabiki wahimizwe wawe wanachangia rejesho, mfano kima kiwe kuanzia elfu moja yn kila mwezi shabiki awe anachangia buku kima cha chini ili tuwe tunarejesha rejesho.

Hiyo accnt ya rejesho iwe wazi yn kiasi mtu akichangia akione live bila chenga, hv unadhani kwa mshabiki wa kweli atashindwa kuchangia tm yake wakati uwanja anauona? Na nadhani WaTz nadhani wanajulikana kwa mapenzi ya kweli pale anapoona ukweli umetawala ktk jambo fulani.

Hiyo bilioni 30 unapata uwanja mzr tu wa kuanzia ambapo baada ya kukamilika na kumaliza deni tutauongeza taratibu kulingana na mahitaji mpk tunakuwa na uwanja wa kimataifa, hilo nalo linatushinda kweli mpk tm zetu kubwa hivi zenye mvuto na credibility ya kutosha zinakosa viwanja???
Kufanya ishu kama hiyo inabidi kuwepo na uongozi imara ambao sio wapigaji.
 
huwa nasemaga.. mpira wa miguu Tanzania tunaupenda na tumeshauweka moyoni kbsa .. kilichobaki ni serikali ni kujenga viwanja kama hiv miji mikuu kwanza kama mitatu hiv.. Dodoma, Morogoro, Mbeya au Mwanza au Arusha kule

nashukuru Magu alisema, hata polepole juzi alisema secta ya michezo imehusika sana na kukua kwa uchumi, hivyo hataiacha hivhiv bila kufanya kitu awamu hii inayofuata
Hela ya Kujenga iliyotumika Stand ya Dar na Dodoma 73bil inawez jenga Stadium mbili za 40,000 na 30,000 seats

Hela iliyojenga stand ya Dodoma 22 bn inaweza jenga 12,000 seat arena kwa ajili ya michezo kama basketball na pia kutumika kama auditorium ya Show za wanamziki etc ..hyo ndo hela ambayo Kigali Arena imejengwa..

So i hope to see A new indoorArena about 15,000(25bil tsh) seats in Dar or Dodoma and a New National Stadium 90,000 seat(100-120bil tsh)s in Dodoma in coming years

If tukitaka ku host afcon we need 2 other stadiums in Arusha 40,0000seats (50bil tsh )and 35,000seats 40 bil tsh Mbeya maybe and CCM to renovate Kirumba in Mwanza

Afcon requires 4-5 stadiums
Dar 60k mkapa
Dodoma new national stadium 90k upcoming approved .
Arusha 40k new
Mbeya 35k new
CCM kirumba 35k rennovate and maybe upgrade to 50k

Tukiweka na Vi pitch kama Karume kama vinne kwenye hio miji ...basi tunaweza host michuano mikubwa
 
Mkuu mm mda mrefu nimekuwa na Idea kwa hz tm zetu hz kuhusu kujitegemea, mfano niichukilie tm yangu pendwa ya Yanga wanashindwa nn kujenga uwanja? Tm yenye rasilimali watu km Yanga? Wafanye hv

Waingie ubia na benki flani mfano crdb au nmb zen kupitia benki husika wawahimize washabiki wa Yanga wachukue kadi ya kielektroniki ya Yanga ambayo kupitia hyo kadi shabiki ataweza ku deposit au ku withdraw amount kwenda au kutoka benki.

Hizo kadi zitolewe bure ila ziwe na kianzio fulani ambacho hakitakuwa kikwazo kwa shabiki kumiliki, yn hyo kadi ipatikane ktk kila branch ya benki husika nchi nzima na washabiki wahimizwe nchi nzima kupitia vyombo vyote vya habari.

Baada ya hapo Yanga iwe ina hakiki idadi kamili ya mashabiki zen Yanga wachukue mkopo toka benki husika kwa kuanzia inaweza kuchukua hata bilioni 30 zen watafute eneo ambalo km wataomba serikalini watapewa bure, zen watangaze tenda ma engineer wajenge uwanja.

Wakati uwanja unajengwa kuwe na update za kila mara zikionesha hatua za ujenzi na hapo hapo mashabiki wahimizwe wawe wanachangia rejesho, mfano kima kiwe kuanzia elfu moja yn kila mwezi shabiki awe anachangia buku kima cha chini ili tuwe tunarejesha rejesho.

Hiyo accnt ya rejesho iwe wazi yn kiasi mtu akichangia akione live bila chenga, hv unadhani kwa mshabiki wa kweli atashindwa kuchangia tm yake wakati uwanja anauona? Na nadhani WaTz nadhani wanajulikana kwa mapenzi ya kweli pale anapoona ukweli umetawala ktk jambo fulani.

Hiyo bilioni 30 unapata uwanja mzr tu wa kuanzia ambapo baada ya kukamilika na kumaliza deni tutauongeza taratibu kulingana na mahitaji mpk tunakuwa na uwanja wa kimataifa, hilo nalo linatushinda kweli mpk tm zetu kubwa hivi zenye mvuto na credibility ya kutosha zinakosa viwanja???
Mwangu idea safi sana....nimeikubaki billion 30 ni kubwa inakupa uwanja hata wa 40,000 seats which ni sawa na stamford kasoro utakosa facilities muhimu za ndani which uta upgrade kidogo...idea nyingne nzuri ni kama ile iliyotumika kujenga Kigamboni bridge....Unawaftwata Pspf au nssf wanajenga uwanja ..wanaumiliki wao mpka muda hela yao ikirudi then uwanja wao..in return yanga wana advertise nssf na waanahakikisha wanachama wao wako nssf au pspf ..Bil 30-40 pesa ndogo na Yanga wana mashabiki wakutosha kujaza uwanja mechi za home
 
Back
Top Bottom