Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So desparete[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1544064
Remember, Tanzania will wait for many years or even never, to have a street view like this. They cant even dream about it.
EgAJou0WsAI9k22.png
 
Kuna reli mpya inajengwa yenye urefu wa km 126 kutoka Mpanda mpaka Karema (pembezoni mwa ziwa Tanganyika). Hii inaenda sambamba na ujenzi wa bandari mpya ya Karema, ili kurahisisha mizigo inayoenda DRC na nchi za SADC ipitie bandari ya Dar, haraka (chini ya siku mbili).

Tuta la reli litakuwa la upana wa SGR ila wataweka MGR kwa muda. SGR itakapofika upande huo watang'oa MGR na kuweka SGR (na kuweka nyaya za umeme, of course ๐Ÿ˜‰)

Wakongoman tutakuwa tumejihakikishia nao biashara kwa asilimia kubwa saana...maana hii ni direct amna kugusa Zambia.
 
Kuna reli mpya inajengwa yenye urefu wa km 126 kutoka Mpanda mpaka Karema (pembezoni mwa ziwa Tanganyika). Hii inaenda sambamba na ujenzi wa bandari mpya ya Karema, ili kurahisisha mizigo inayoenda DRC na nchi za SADC ipitie bandari ya Dar, haraka (chini ya siku mbili).

Tuta la reli litakuwa la upana wa SGR ila wataweka MGR kwa muda. SGR itakapofika upande huo watang'oa MGR na kuweka SGR (na kuweka nyaya za umeme, of course ๐Ÿ˜‰)

Tanzania inajiposition yenyewe kuchukua nafasi yake kama hub ya uchukuzi ktk Africa mashariki na kati, wakati wengine wanajichosha kwa White elephant
 
Back
Top Bottom