Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
yaaani wewe kila siku upo nyuma tu unapitwa na vingi ,,hivyo vitu watu tulishavipita.....upo nyuma nyuma kama kalio la sanch..mUle ule uharo tu
Thibitisha km ulifika mombasa ulivyofanya kisumu
Ukileta natoka jf


huko watu tuna ndugu na jamaa hivyo si big issue kwetu.........
cha ajabu tokea thread ianze hakuna mkenya aliyewahi kuthibitisha hata unyoya wa kuku wa dar huwa mnaishiaga kusema maneno tu ooh tunaijua dar kumbe hamna kitu hamtoki nnje ya kenya





