The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
😀😀😀Kwn unadhani komora hakujui sema jeuri tuu![]()
habari njema ni kukimbiza mwanzo mwishoBRT Phase 3 construction to start very soon..
C wanasemanga mtoto wa kike hata akipata mimba aendelee na shule ss wanahofia nn


Me nakwambia tuombe uhai tu lkn hii miradi yetu ikiisha wallahi hakuna nchi itatukaribia kwa vyovyote vile, unajua nchi yetu imekaa sehemu ya kimkakati inazungukwa na nchi karibia 8 na asilimia kubwa ya hzo nchi ni landlocked so zinatutegemea mno ni kutokuona mbali tu ndo kulituchelewesha kuling'amua hili mapema au niseme ni uroho tu wa viongozi kushindwa kufanya haya mapema, nchi hii ilihitaji nguvu kdg tu kuweza kujitegemea.Kuna reli mpya inajengwa yenye urefu wa km 126 kutoka Mpanda mpaka Karema (pembezoni mwa ziwa Tanganyika). Hii inaenda sambamba na ujenzi wa bandari mpya ya Karema, ili kurahisisha mizigo inayoenda DRC na nchi za SADC ipitie bandari ya Dar, haraka (chini ya siku mbili).
Tuta la reli litakuwa la upana wa SGR ila wataweka MGR kwa muda. SGR itakapofika upande huo watang'oa MGR na kuweka SGR (na kuweka nyaya za umeme, of course 😉)
Kwhyo unapingana na ripoti inayosema km madaktari waliogoma ni wa nairobi county..sasawa kilazawalipwe wapi??majanga juu ya majanga
Ule ule uharo tu







C wanasemanga mtoto wa kike hata akipata mimba aendelee na shule ss wanahofia nn![]()



kama baba wa huu ukanda tunataka watoto wote wa kenya waliojazwa vitumbo tuwaone mashuleni....