Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1205.jpg
 
Bora tu umejitoa kwenye kuusifia huo utopolo maana watu wa nairobi wanawadharau watu wa mombasa kinyama halafu isitoshe wanafanya kila namna job opportunities zihamishiwe nairobi
mibongolala kwa ujuaji na umbea khaaa!
 
Bora tu umejitoa kwenye kuusifia huo utopolo maana watu wa nairobi wanawadharau watu wa mombasa kinyama halafu isitoshe wanafanya kila namna job opportunities zihamishiwe nairobi
Tantarira hzo
Kwhyo wala hazishtui
 
Kenya haitakaa ije kuendelea kamwe mana wao kwa wao hawapendani, mkenya wa Nairobi atakwambia Mombasa haimuhusu mkenya wa Mombasa atakwambia Nairobi haimuhusu ndiyo maisha yao hayo wana ubaguzi uco na kipimo.
Kila watu wana serekali yao, sasa unataka watu wa mombasa au nairobi waandamane kisa wenzao hawajalipwa hku ukiwa tayari wewe ushalipwa..
Never!!kila watu wapambane na county yao, hta wengine pia wana matatizo yao
 
Just for the record i dont reply to your childish point of view....it sound dummy.., even a child who reached adolencence age has the same manner of playing big boy or girl toward the others by behaving like mature one...,yet he or she has long way to go to reach where others are.....to advice you , back to your normal song called giiidiiipiii
Just to show you developed city in EAView attachment 1544783View attachment 1544784View attachment 1544785View attachment 1544786View attachment 1544788View attachment 1544789View attachment 1544790View attachment 1544792View attachment 1544793View attachment 1544796View attachment 1544797View attachment 1544799View attachment 1544801View attachment 1544803View attachment 1544804View attachment 1544805View attachment 1544807View attachment 1544808View attachment 1544809View attachment 1544810
hatari tuishindilie na hii
FB_IMG_1598110259519.jpg
 
Tantarira hzo
Kwhyo wala hazishtui
mimi nimekulia maeneo ya mipakani na nyie so nyie ndio majirani ninaowafahamu kuliko wote tuliopakana nao na ninaposikia kuhusu mombasa nilichoaminishwa na wakenya wengine ni kuwa watu wa mombasa wanaridhika na vitu vidogo, ni washamba, wanaendekeza dini, wanapenda mteremko na ngono
 
Back
Top Bottom