Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,089
- 1,432
Ili kuleta tija na tafsiri kamili ya maendeleo inatakiwa bidhaa hizo zinapomfikia mlaji zishuke bei na co iwe faida kwa mkulima tu itakuwa haina maana yoyote katika uchumi.
Tunataka angalau ifike $150bil kwa kipindi hiki cha miaka mitano ijayo hapo kdg tutaelewana[emoji3][emoji3]
mkiguswa makende munaruka kumbe 😂😂24/7 unashinda unafatilia media za Kenya, get a life dude ama utakufa kwa pressure
Kwn aliyesema sidewalks Kenya ni tatizo ni nani km co ww mwenyewe, ningelikuwa na muda wa kuchezea ningelikutafutia post yako nikuwekee humu.Watanzania ni kama watoto. Wanatekenywa kidogo washa cheka. Juzi waliambiwa eti wako na best sidewalks kwa twitter na Mkenya wakaja na twit yenyewe hapa mbio.
fact: Kenya has the best sidewalks in east and central Africa. Only, Kenyans are never contended. They always want more. That is they criticize even the best.
View attachment 1543909
View attachment 1543913
Ziko wapi hizo zilizofanyiwa upgrading? Wacha kutuchocha hapa, hv nyie Wakenya na umaskini mlionao mnaweza kuifanyia upgrading Kibera? Au unadhani humu ni nairaland [emoji3][emoji3][emoji3]Kenya Slum upgrade. They are slowly becoming better than Dar es Salaam CBD.
View attachment 1543920View attachment 1543921View attachment 1543922
Kwasababu gharama za usafirishaji zimepungua, maana yake wafanyabiasha watasafirisha bidhaa nyingi zaidi, hivyo supply itakuwa kubwa zaidi kuliko ilivyokua awali, demand itashuka kwahiyo price itashuka.Ili kuleta tija na tafsiri kamili ya maendeleo inatakiwa bidhaa hizo zinapomfikia mlaji zishuke bei na co iwe faida kwa mkulima tu itakuwa haina maana yoyote katika uchumi.
Yah I know this very well because I took EGM when I was A level student.Kwasababu gharama za usafirishaji zimepungua, maana yake wafanyabiasha watasafirisha bidhaa nyingi zaidi, hivyo supply itakuwa kubwa zaidi kuliko ilivyokua awali, demand itashuka kwahiyo price itashuka.