kenyatta na yule waziri wao wa elimu sijui wataambia nn wakenya
afu guys matokeo ya form six yametoka.. hawa wanafunzi wetu walifanya mitihani yao baada ya Magu kuruhusu shule zifunguliwe... ila wenzetu [emoji1139] walivyowajinga wamefunga kbsa masomo ya mwaka huu