Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
This satellite city is coming out really nice.
Nairobi Kenya
Nairobi Kenya
Ww kangalie alfu ndio ujue naongelea nn...acha uogaNaona 250m mm, alafu tatizo hko nyuma kuna vyumba vya tsh km 25k
Hapo kuna apartnent za 200000usd acha kulia lia apa....Naona 250m mm, alafu tatizo hko nyuma kuna vyumba vya tsh km 25k
Masaki ni zaidi ya vibanda ndugu wacha kua desperate na vitu vya kijingaSo this place 25km from the CBD beats that Masaki village pants down!!!!
View attachment 1538417
View attachment 1538422
Farms in Kenya
View attachment 1538388


Kumbe hio ni farm huko Kenya huku ni bustan hizoooWanalipwa na nani?alafu,Uhuru amefukuza mawaziri na makatibu wote kwenda nyumbani,ameshindwa kuwalipa Mishahara!Sasa una force nn na wakati kenya madakatari hawalipwi na wanasiasa
Dar es salaam Rapid Transit (DART)
View attachment 1537930
View attachment 1537931
View attachment 1537932
Farms in Kenya
View attachment 1538388
Wapi imeandikwa wamefukuzwa na hawatolipwa hela zaoWana
Wanalipwa na nani?alafu,Uhuru amefukuza mawaziri na makatibu wote kwenda nyumbani,ameshindwa kuwalipa Mishahara!
Sasa hyo si ni ksh 20m tu na link yangu kuna mpka ya 30 na kuelekeaHapo kuna apartnent za 200000usd acha kulia lia apa....
Bado sana kufikia posh estates za kenya, jipangeni tenaAcha kujitekenya, unajua fika hiyo ni part ndogo sana ya Masaki
Ndio nikakuuliza, zile barabara za masaki mmeshazieka katika hali nzuriJibu ulishawahi fika masaki? Mbona unakuwa mswahili komora
Umedandia treni, kwhyo tulia tuHusomeki sijajua unazungumzia uwepo wa nyumba ? Bei au kingine ? Nataka nijue mantiki yako
Ndio ujue hiyo upper ushuz akuna kitu na hiyo ni jumba moja tu...so tuliza kendeSasa hyo si ni ksh 20m tu na link yangu kuna mpka ya 30 na kuelekea
Ila nyie acheni utani Eti hyo si ni ksh 20 m tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani ime pigwa kama tray za mayai😂😂 20 hviSasa hyo si ni ksh 20m tu na link yangu kuna mpka ya 30 na kuelekea