Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iko Europe!? Dewji (Mo) ni muhindi and he owns Tanzania!!!!
Wee Edward ni mwalimu wa skuli ya namna gani usiyejua hata historia ya Afrika?

Tanzania ni nchi yenye raia wa rangi mbalimbali, weusi, wazungu, washirazi, wahindi, wasonjo etc.

Huyo MO unaye mzungumzia hajui nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Ancestors wake walikuja kabla hata nchi yetu haijaitwa Tanzania, enzi hizo za Tangayika na Zanzibar.

FYI chama tawala Tanzania kilitokana na muungano wa vyama viwili, TANU na Afro-Shirazi Party (ASP).umeshawahi kujiuliza kwanini Ma-Afro na Ma-Shirazi waliamua kukaa pamoja na kuunda chama cha ASP ili kudai uhuru wa nchi toka kwa Mkoloni Mwarabu huko Zanzibar?

Na baadaye wakaungana na TANU ya bara ili kuunda CCM?

Siku nyingine usiropoke tena juu mambo usiyojua vizuri.
 
Mambo mengi hawayajui. Na wameoshwa ubongo Kuhusu Bongo.
 
Attachments

  • IMG-20200815-WA0035.jpg
    IMG-20200815-WA0035.jpg
    46.5 KB · Views: 17
hapa kuna mawili...
1. Corona imewapata baadhi yao hivyo wanajiweka quarantine au
2. kuna reshuffle itafanyika...
au yote mawili kwa pamoja
IMG_1597561443.320081.jpg
 
ndiyo hivyo yaani wakenya wako zero kihistorical yaani hakuna wanachokijua zaidi ya maji maji na mau mau[emoji23][emoji23]
Kwenye ukombozi wa nchi za Africa kipindi cha ukoloni Tanzania ilikuwa msitari wa mbele kusaidia nchi zingine kupata uhuru wakati kenya ilikuwa msitari wa mbele kushirikiana na wakoloni kukandamiza nchi za Africa na hiki kitu hawajafundishwa kwenye somo la historia na wakenya wengi hawajui hii kitu.

Wee Edward ni mwalimu wa skuli ya namna gani usiyejua hata historia ya Afrika?

Tanzania ni nchi yenye raia wa rangi mbalimbali, weusi, wazungu, washirazi, wahindi, wasonjo etc.

Huyo MO unaye mzungumzia hajui nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Ancestors wake walikuja kabla hata nchi yetu haijaitwa Tanzania, enzi hizo za Tangayika na Zanzibar.

FYI chama tawala Tanzania kilitokana na muungano wa vyama viwili, TANU na Afro-Shirazi Party (ASP).umeshawahi kujiuliza kwanini Ma-Afro na Ma-Shirazi waliamua kukaa pamoja na kuunda chama cha ASP ili kudai uhuru wa nchi toka kwa Mkoloni Mwarabu huko Zanzibar?

Na baadaye wakaungana na TANU ya bara ili kuunda CCM?

Siku nyingine usiropoke tena juu mambo usiyojua vizuri.
Na wewe hujui kwamba Kenya pia ina raia wa rangi tofauti!? Ama hilo wa hujui!?
 
Back
Top Bottom