Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar
IMG_20200814_125527.jpg
 
Unawashangaa waturkana kwamba Wana hela alafu wanakula mizoga ya punda!? Mbona viongozi wanaiba hela zaidi ya trillioni nne za Corona alafu wanashindwa kuwalipa madaktari mishahara?
Madakatari wa nairobi hawalipwi na wanasiasa
 
Hehehe!!hyo link yote umeona hyo tu

Kweli umechanganyikiwa, hta zile za ksh 30m achana nazo..nilete kijitonyama za ksh 20m tu
Acha ujinga nilisha kwambia ziko za mill 300 ukakata...tn siyo moja au mbili...so tuliza wenge
 
Back
Top Bottom