komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Lkn hapo hela ya kununua bunduki na risasi wako nayo..what an irony
Hyo ndio kali kwenu kisha mazee, mi appartments kibao..Baadhi ya mitaa ya masaki
Alaaaa!!Wanapewa bure hizo.. hawawezi kununua
Media za Tanzania mbona zimeripoti sana tu,kweli tunafeli.. mfano hizi ni media za Tanzania lkn mpk sasa hazijareport hii taarifa
hata kama liliandaliwa (sponsored) na Azam au kuna sponsors wamejitokeza.. media zingine hazipaswi kukaa kimya
Alaaaa!!
Lodwar kuna soko kubwa la mifugo, huaga wakiuza pesa wanapeleka wapi
Kumbe nabishana na pimbi, nenda kakojoe ulale hko..Wanauza mifugo au wanafanya barter trade tu huko? Kuna watu wanajua hela huko lodwar? kuna huduma za kifedha huko kweli?
Tuwekee eastland boss....Najua huna aibu utawekaHyo ndio kali kwenu kisha mazee, mi appartments kibao..
Kwnza hyo ndio imenichekesha sana, km zile za eastlanda tuView attachment 1537865


Weka picha tu sihitaji kumaliza bundle langu
Ziweke
Kumbe nabishana na pimbi, nenda kakojoe ulale hko..
Mna rooms za kutoana nyege barabarani? Maana umesema mna kila kitu.Kuna vitu tumewazidi sana (Ustaarabu) lakini hawawez kuona, drive from Dar to Arusha kuna sehemu nyingi nzuri sana za kula na washrooms,filling station etc, hautafeel kuchoka wala kua boared,barabara nzuri sana kila kitu kiko proper, Na kuna baadhi ya wakenya waungwana wameshasema hili kuna vitu tumewaacha kwa umbali sana
Mna rooms za kutoana nyege barabarani? Maana umesema mna kila kitu.
duh