komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wacha wee!!enhee za kijitonyama vipi[emoji23][emoji23]Acha ujinga nilisha kwambia ziko za mill 300 ukakata...tn siyo moja au mbili...so tuliza wenge
Najua unataka kukwepa mada
Wacha wee!!enhee za kijitonyama vipi[emoji23][emoji23]Acha ujinga nilisha kwambia ziko za mill 300 ukakata...tn siyo moja au mbili...so tuliza wenge
Kujitoa ufahamu pia sio mbayamm naona mashamba tu na misitu [emoji23][emoji23][emoji23]
RUNDA ESTATE, Nairobi [emoji81]
KAREN area, Nairobi [emoji81][emoji378][emoji91]
Hahaaa!!masaki inakaa kijijiKITISURU, LOWER KABETE, Nairobi [emoji7][emoji81][emoji81][emoji378][emoji95]
Siwezi kukudangany angalia hii video apartment moja iko around 500mill sasa ww unazani uku ni kwamafukaraWacha wee!!enhee za kijitonyama vipi[emoji23][emoji23]
Najua unataka kukwepa mada
Kunani kilaza...mbna wani quote
hamupendi ukweli nyinyi ndio tatizo hilo😂😂😂😂Kujitoa ufahamu pia sio mbaya
Hihiii!!kwn na wewe siku hizi unaupenda ukwelhamupendi ukweli nyinyi ndio tatizo hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
acha kupanic sasa 😂😂😂😂Hihiii!!kwn na wewe siku hizi unaupenda ukwel
Naona 250m mm, alafu tatizo hko nyuma kuna vyumba vya tsh km 25kSiwezi kukudangany angalia hii video apartment moja iko around 500mill sasa ww unazani uku ni kwamafukaraView attachment 1538243
Kwahiyo komora unataka kusemaje Sasa mbona husomeki,ushaambiwa Bei Bado unakenua kenua tu shida NiniNaona 250m mm, alafu tatizo hko nyuma kuna vyumba vya tsh km 25k
Wanaopanga mipango ni experts wakishirikiana na wanasiasa ambao wametelekeza wananchi,sio!?Madakatari wa nairobi hawalipwi na wanasiasa
Kumbeeeacha kupanic sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa una force nn na wakati kenya madakatari hawalipwi na wanasiasaWanaopanga mipango ni experts wakishirikiana na wanasiasa ambao wametelekeza wananchi,sio!?
250m hyo ni sawa na km ksh 12m, tena hyo bei utakuta ni hayo majengo yaliyokatiza katika hyo street moja..nyuma balaaKwahiyo komora unataka kusemaje Sasa mbona husomeki,ushaambiwa Bei Bado unakenua kenua tu shida Nini
ThubutuHahaaa!!masaki inakaa kijiji
Hzo video nimequote bro masaki mtotoThubutu
250m hyo ni sawa na km ksh 12m, tena hyo bei utakuta ni hayo majengo yaliyokatiza katika hyo street moja..nyuma balaa
Komora Kama komora pisi la kibabe ushawahi fika masaki au nipotezee tu😀😀Hzo video nimequote bro masaki mtoto