Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huo ni uzembe, ndio sababu tunawazomea kwenda kusomea kiingereza tu shuleni.

yaani ushindwe kufaham waziri wa utalii tz, ila unamjua wa mambo ya nje ufaransa. hicho ni kiherehere.
Ufaransa ndio sijui haswa..labda rais
 
Hongereni kwa kujenga reli kilomita nyingi kama wachawi. Ila najiuliza mbona bado nyie masikini?
 
WaTanzania mkiskia Nairobi population during the day ni 8million lakini usiku ni 4million msishangae vile.

NAIROBI METRO baba yao!

ATHI RIVER and KITENGELA boroughs of NAIROBI.👇 😹🔥

 
Back
Top Bottom