Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Hii interchange ina kasoro makutano ya UDSM na pia yale ya kuelekea BRT parking station! kutaleta interference na traffic flow!
Construction updates of the 12-16 lane WAIYAKI WAY, NBO, KENYA
tuusan hii barabara inanikumbusha THIKA road jinsi ilivyokuwa kabla ya kujengwa kwa SUPERHIGHWAYBarabara hii inaitwaje...View attachment 1537762
Ali Hassan Mwinyi Rd....Barabara hii inaitwaje...View attachment 1537762
Hazifanani wacha ufala...wewe huoni iyo inataa mitaro na sidewalk..Itatanuliwa kwa kuwekwa brt lanes katikati haiko kwenye mpango wakugeuzwa kua superhighway kama Thika,Junction zote zitawekwa flyover itakua sawa tutuusan hii barabara inanikumbusha THIKA road jinsi ilivyokuwa kabla ya kujengwa kwa SUPERHIGHWAY
View attachment 1537770