Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Knowing stuff about other countries just shows how globally oriented people of a certain country are. However, I can assure you that Kenya is the last country that Tanzanians would care to know things about. Kenyans on the other hand, pay so much attention when it comes to news about Tanzania. From our music, politics, pop gossip........you name it.
Naona unaiongelea tz hku ukijifariji na kenya..
Mimi ukiniuliza RC wa mwanza simjui, lkn weww nina uhakika hku unajua mawaziri, magavana na wabunge kadhaa
 
Uswazi and slums is quite different anyway this is town but you can't find an area ambayo iko close na kibera hata katika town level ba thing is Iringa Town is not much popular
Hehehe!!mkibanwa mnakimbilia kujilinganisha na slums
 
IMG_0839.jpg
 
Naona unaiongelea tz hku ukijifariji na kenya..
Mimi ukiniuliza RC wa mwanza simjui, lkn weww nina uhakika hku unajua mawaziri, magavana na wabunge kadhaa
huo ni uzembe, ndio sababu tunawazomea kwenda kusomea kiingereza tu shuleni.

yaani ushindwe kufaham waziri wa utalii tz, ila unamjua wa mambo ya nje ufaransa. hicho ni kiherehere.
 
Back
Top Bottom