Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapingana na facts? Saa zingine huwa sikuelewi. Facts ni facts na wewe huwezi kuibadilisha.

Standard-gauge railway - Wikipedia
hata iphone 3g ni iphone na inatumia ios.

but kuwa nayo zama hizi ni zaidi ya uchizi. labda kama uko na program ya kufungua jumba la vifaa vya makumbusho siku za karibuni.

hoja kwamba inapigana kutuma sms, ni hoja ya kumaliza mjadala kwa nguvu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Serikali ya Mozambique ni dhaifu Sana,imeshindwa kudhibit hii Hali kabisa,inasemekana waliomba msaada Zimbabwe,wakakataliwa,wakaambiwa waje Tanzania,wakakataa wakisema hawaiamini TZ na Lesotho,Sasa wameanza kujuta,Kuna uwezekano wakateka bandari zote hadi Beira.nimeona tunadhibiti kule southern regions ipasavyo.
TPDF to launch a manhunt along the border with Mozambique
Jeshi la Zimbabwe lipo Mozambique tatizo in jeshi la Mozambique ni dhaifu ila Tz huku patrol iko vizuri
 
Zamani ndio walikua wanatumia kigezo cha upana wa reli wakimaanisha SGR, lakini siku hizi neno SGR limebeba maana tofauti, ukisema SGR watu wanategemea kuona " Very modern, electric. Fast and very Comfortable train", sio huo ushuzi wenu.
Maskini, joto la jiwe mbna unapotosha hivi..umelipwa nn[emoji23]
20200813_194913.jpg
 
Wapi
So facts ni twitter sio, hahahaa!!naona umetema povu sana..
Lkn ujue ukwel ndio huo, hyo tweet uliyoleta kw sasa hzo ni numbers tu wameweka, rudi ile siku hicho kichinjio kitaanza kushughulikia hyo idadi km ilivyotajwa
Wapi nmikuwekea Twitter? Iko hivi,60% ya ng'ombe wanaochinjwa (Kenya meat commission) wanatoka Tanzania,fikiria hiki kiwanda kitakapoanza full operation Nini kitatokea,najua jibu unalo.
 
Back
Top Bottom