Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yap ila sijaona another Class 159 ya abiria ya kampuni nyingine maana yake Stadler wanaweza kuwa na treni za abiria!
Wanao mkuki moja mzuri sana unaitwa smile unaenda 250km /hr...ila sithan km watalichukua hili linabeb magari (mabehewa)8 mpka 11....kwakuw waziri mkuu alisema lita kuwa n uwezo wa kutunza charge basi naisi latent 3 ....nayo naielew snaa
Screenshot_20200808-131215.jpg
 
Wabongo mshaanza kujitekenya kwenye maswala ya treni!!!!! Mtulie hadi Magu atakapoagiza. Hatuna uhakika hata kama atakamilisha miradi huu.

Najua Lissu hatapita kura. Kawaida chama ni CCM
 
Usitufokee.
Vilevile tuliza mshono.
Mbona mnajifanya maboya!? Hamtaki ukweli, wabongo mlilaaniwa!???????

Nimesema muache kujitekenya. Mradi wa reli ni Magu tu anajua utamalizika vipi. Mkimuudhi kwa kumpa kura chache, huenda akaachana nao kabisa. Chama ni CCM. LAZIMA KIPITE. Mradi huu wa reli ulikuwa wakumpa Magu umaarufu wa kisiasa. Unafikiri kwanini miaka 5 haujakamilika!? Anautumia kama kigezo. Kipindi cha pili hatakuwa na haja vile
 
Back
Top Bottom