



Ndo ule "msemo ukimwaga mboga sisi tunamwaga ugali" umeshaanza kufanya kazi
Ivi haya majengo ya BOT yapo na floor ngap?
Hta usishtuke, habari zote huaga nazipata jf, nikiboeka huaga naingia napitia jukwaa la siasa angalau nicheke kiasiWala Makonda asikupe pressure! Anafaa,na uwezo mzuri,alafu hongera Sana kwa kufuatilia bongo news.
Imekuingia hyoKenya vyoo ni either viko kwenye mifuko au watu wanajisaidia hadharani.

Hakuna kitu chochote cha kunibabaisha kisemwacho na mtu mwenye low IQ kama Wewe. Masihara Ndio level yako ya argument. Explains a lot about you people. I’d rather sleep than waste one more second arguing with your ignorant arse!Imekuingia hyo![]()
Na muandishi wa hiyo article ni lazima atakuwa ni mkikuyu..😀😀🤣🤣Kwn wamelazimishwa..kuna watu wanapalia pesa hapo mahali, kisha tatizo hawamiliki hata robo..
Sasa wewe msukuma ukija kuhangaika nairobi, itabidi umezidiwa na hao wamiliki wa hvyo vibanda alafu ujue wao hawaishi hko..View attachment 1529728
Acha tanzania, wazamiaji kutoka pande zote EA huwakosi hko huku wakiongozwa wa nubi kutoka south sudan..Na muandishi wa hiyo article ni lazima atakuwa ni mkikuyu..
Halafu mlisema wanaoishi kibera ni wa tanzania!!!! Imekuwaje tena
We kalale tuHakuna kitu chochote cha kunibabaisha kisemwacho na mtu mwenye low IQ kama Wewe. Masihara Ndio level yako ya argument. Explains a lot about you people. I’d rather sleep than waste one more second arguing with your ignorant arse!
Acha broken English,lugha za watu hizo kama huwezi tumia hata kijaluo tutakuelewa...unasingizia typo!!??..typo mo' suckerPetty and childish. You are either a woman(no offense since they pay attention to grammar), gay, or illiterate if you cant figure out that typos should not draw attention on social media when the message has been conveyed.