Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vitu kwa ground vinatisha!
We unafikiria kulipa kioo cha bentley bentayaga ni rahisi..lazima jamaa wazungushane[emoji23][emoji23]
Kukatwa mshahara sio kila mtu ywapenda, umejuaje waliohusika sio ajabu yamewaangukia pua hko KENHA
 
Acha tanzania, wazamiaji kutoka pande zote EA huwakosi hko huku wakiongozwa wa nubi kutoka south sudan..
Watu kidogo wanajikongota ni wanaija
Mapenzi yako kwa Tz hayafichiki, Kwa nini usihamie Bongo Mtoto Mzuri, uondokane na hiyo nchi ya Wazandiki, mamluki, wanafiki na watumwa wa mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kinacho nisikitisha mimi kwanini barabara zetu zinapunda pinda bila ya sababu kunatatizo gani kwenye injinia yetu ya mipango miji au wamejazwa waswahili kwenye hivyo vitengo ona kwenye hiyo picha barabara zilivyo pinda bila ya sababu wakati eneo bado lipo wazi alijajengeka bado tatizi nini !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!namwomba raisi achukue hatuka kali kuhusu ili tatizo maana limekuwa common sasa kila mipango miji mipya ukipiga picha kwa juu barabara zimekaa kama minyoo
 
Hta usishtuke, habari zote huaga nazipata jf, nikiboeka huaga naingia napitia jukwaa la siasa angalau nicheke kiasi
Hakuna aliyekuuliza unapozipata,wewe kuwa na Amani,hii ni Tz,mtu anateuliwa kwenye wadhifa kwa uchapa kazi,na sio kwa ukabila Wala undugu,Makonda ni potential Sana,amepambana na drug dealers na ushoga Sana,so,he deserves though ana mapungufu yake!
 
Jamani mambo yanazidi kunoga.
Katika video hii kuna Train inayotarajiwa kununuliwa kwenye SGR.
hebu tuambizane jina lake



Picha za train
Screenshot_20200808-082154~2.png
Screenshot_20200808-082259~2.png
Screenshot_20200808-082346~2.png
 
Hakuna lockdown matunda yake ndio haya, yaani pamoja na duniani kupigwa na hii Corona lakini Tanzania mapato ndio yanazidi kupaaa zaidi kuliko hata kipindi Hakuna Corona

☀️☀️☀️☀️☀️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Back
Top Bottom