Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongo mshaanza kujitekenya kwenye maswala ya treni!!!!! Mtulie hadi Magu atakapoagiza. Hatuna uhakika hata kama atakamilisha miradi huu.

Najua Lissu hatapita kura. Kawaida chama ni CCM
Nani hana uhakika wa kumaliza mradi?Tanzania sio nchi ya ovyo kama Kenya yaani hatuwezi kuanzisha mradi tusioweza kumaliza
 
Najib Balala with Forest Rangers
IMG_20200806_213318.jpg
IMG_20200806_213312.jpg
 
Mbona mnajifanya maboya!? Hamtaki ukweli, wabongo mlilaaniwa!???????

Nimesema muache kujitekenya. Mradi wa reli ni Magu tu anajua utamalizika vipi. Mkimuudhi kwa kumpa kura chache, huenda akaachana nao kabisa. Chama ni CCM. LAZIMA KIPITE. Mradi huu wa reli ulikuwa wakumpa Magu umaarufu wa kisiasa. Unafikiri kwanini miaka 5 haujakamilika!? Anautumia kama kigezo. Kipindi cha pili hatakuwa na haja vile
Unalia lia nini sasa wewe!?
Unazijua siasa za bongo wewe!!?
Utapotea.
Tuliza mshono.
 
Back
Top Bottom