Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamani mambo yanazidi kunoga.
Katika video hii kuna Train inayotarajiwa kununuliwa kwenye SGR.
hebu tuambizane jina lake



Picha za train
View attachment 1530551View attachment 1530552View attachment 1530553

Euro dual by Stadler!

Screenshot_2020-08-08-08-20-33.png
 
Sasa,mbona ni EURO DUAL tu? kISS haipo kwenye order.naomba nieleweshe mkuu.

hizo picha kweny video si kwamba zitanunuliwa hizo... inaweza kuwa ndo zenyewe au vinginevyo!

suala la EMU lipo private sana! labda wanaogopa zikakamatwa... ila last time nilivyosikia... walioshinda tenda walikuwa Bombardier wa TALENT 3 na hao Stadler wa EURO DUAL
 
hiv yule wa waziri wa kenya aliesema wameshasuluhisha mgororo na Tanzania kuhusu ndege wiki iliyopita... anajisikiaje mpka sasa ndege zao haziruhusiwi kuingia bongo? TCAA wabane hivhiv mpka kipindi cha uchaguzi kiishe
Huwaga wanachukulia mambo kirahisi sana hawa wendawazimu,
Sasa hivi tupo kwenye siku 40 za Maombolezo ya Mzee Ben, baada ya Hapo ni Uchaguzi, haya yakipita we can now discuss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom