toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
SidhaniTushaachana na talent3?
SidhaniTushaachana na talent3?
Nakuhurumia sana maana awamu ya pili itakuwa mvua ya mawe, hivi mnavyoviona ni manyunyu tu. Hivi hujawahi kujiuliza makombora yatakayowaumiza ambayo yatakua rahisi kuimplement kutokana na improvement ya infrastructure? wewe umejikita kwenye miradi ya serikali tu, sikilizia vitu vinavyokujaMbona mnajifanya maboya!? Hamtaki ukweli, wabongo mlilaaniwa!???????
Nimesema muache kujitekenya. Mradi wa reli ni Magu tu anajua utamalizika vipi. Mkimuudhi kwa kumpa kura chache, huenda akaachana nao kabisa. Chama ni CCM. LAZIMA KIPITE. Mradi huu wa reli ulikuwa wakumpa Magu umaarufu wa kisiasa. Unafikiri kwanini miaka 5 haujakamilika!? Anautumia kama kigezo. Kipindi cha pili hatakuwa na haja vile
Dar es Salaam huwezi danganya. Sio kama Nairobi utajaribu kuokota vipicha hata vya 1980 udanganye. Dar hakuna mahali haina Slum. Ona tu hata kwa hii, yenu wenyewe mmepost.
barabara kama hii ipo kenya, zambia na hapa Nigeria [emoji16]
View attachment 1530988
Kenya
View attachment 1530989
Zambia
View attachment 1530990
We jamaa umejua. Kuzungusha kiduara sasa kila kukicha unazungusha viduara.Dar es Salaam huwezi danganya. Sio kama Nairobi utajaribu kuokota vipicha hata vya 1980 udanganye. Dar hakuna mahali haina Slum. Ona tu hata kwa hii, yenu wenyewe mmepost.
View attachment 1530994
Dar es Salaam huwezi danganya. Sio kama Nairobi utajaribu kuokota vipicha hata vya 1980 udanganye. Dar hakuna mahali haina Slum. Ona tu hata kwa hii, yenu wenyewe mmepost.
View attachment 1530994
barabara kama hii ipo kenya, zambia na hapa Nigeria [emoji16]
View attachment 1530988
Kenya
View attachment 1530989
Zambia
View attachment 1530990
Ww subiri tukiongelea majengo ila wajanja tunapoongelea mambo ya kimaendeleo ya kweli kaa pembeni tafadhali, hapa tunaongelea treni ya umeme je kwenu kuna treni ya umeme?Wabongo mshaanza kujitekenya kwenye maswala ya treni!!!!! Mtulie hadi Magu atakapoagiza. Hatuna uhakika hata kama atakamilisha miradi huu.
Najua Lissu hatapita kura. Kawaida chama ni CCM
Angalia vizuri hapo kando 🤣🤣🤣🤣Umezungushia BRT lanes , bike lanes and Pedestrian walkways. [emoji23].
Hii shedo iliyopigwa hapa c mchezo, hapa napafahamu pana ukungu flani hv.Build some 10 years ago. Langata road. Up to today, haina mpizani Dar.
View attachment 1530886View attachment 1530887View attachment 1530888View attachment 1530889
Hata hesabu za primary znakusumbua yn from 2017-2020 interval is 5yrs? Kweli mna kazi kubwa ya kufanya ikiwa hata walimu ndo hawa kina wanjala [emoji3][emoji3]Mbona mnajifanya maboya!? Hamtaki ukweli, wabongo mlilaaniwa!???????
Nimesema muache kujitekenya. Mradi wa reli ni Magu tu anajua utamalizika vipi. Mkimuudhi kwa kumpa kura chache, huenda akaachana nao kabisa. Chama ni CCM. LAZIMA KIPITE. Mradi huu wa reli ulikuwa wakumpa Magu umaarufu wa kisiasa. Unafikiri kwanini miaka 5 haujakamilika!? Anautumia kama kigezo. Kipindi cha pili hatakuwa na haja vile
Mkataba wa bagamoyo ni km wa KQ na Tz, ni bogus treaty ile only Kenyatta would accept it.Wapi Bagamoyo!?
Vinavyokuja mambo gani. Miaka tano treni hamjaiona!!!! Hata stesheni pekee haijaisha, nyinyi lakini mna matatizo!??? Bado mnaimba tu, yanayokuja!!! Hii CCM ni kama iliwaendea kwa mchawi. Hata mkiambiwa ukweli. Sasa hivi mtu akienda kwenye stesheni ya kura anatafuta tu alama ya CCM. CCM NDIO ILIWAZAMISHA KIUCHUMI NA ITAWAANGAMIZA MTOKOMEE. FUNGUENI MACHO MTAFAKARI. NYINYI NI WATU SI SIZIMIZINakuhurumia sana maana awamu ya pili itakuwa mvua ya mawe, hivi mnavyoviona ni manyunyu tu. Hivi hujawahi kujiuliza makombora yatakayowaumiza ambayo yatakua rahisi kuimplement kutokana na improvement ya infrastructure? wewe umejikita kwenye miradi ya serikali tu, sikilizia vitu vinavyokuja
Kibera in Kenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kipi safi hapo!? Dar yote ni Slum kweli
View attachment 1530944
Angalia maana ya usafi Nairobi Kenya.
Ukitaka uchafu Nairobi enda Kibera sio CBD
View attachment 1530945View attachment 1530946View attachment 1530948
factfunga mdomo jua unayeongea naye ni nani...hapa unaongea na nchi iliyokuzidi kuanzia idadi ya millionares mpaka billionares. usirudie tena kuongea pumba za kuafford
kila sehemu kuna wanaojiweza kifedha na wasiojiweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una akili za usiku. mtanzania hawezi ishi kwenye appartment kama hizo,,,inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na akili za kunguru......yaani bila haibu unaziita hizo uchafu ni appartment....
pole yako mzee ojwani,
Uko desperate sana. Mimi sioni slum hapoDar es Salaam huwezi danganya. Sio kama Nairobi utajaribu kuokota vipicha hata vya 1980 udanganye. Dar hakuna mahali haina Slum. Ona tu hata kwa hii, yenu wenyewe mmepost.
View attachment 1530994
Saab, wewe acha longolongo.Hata hesabu za primary znakusumbua yn from 2017-2020 interval is 5yrs? Kweli mna kazi kubwa ya kufanya ikiwa hata walimu ndo hawa kina wanjala [emoji3][emoji3]
Sasa uone vipi na umezoea!?Uko desperate sana. Mimi sioni slum hapo