Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

new modern bus stage in dodoma👇👇
F8336729-002F-45A4-BBE4-CD90D0B19D3B.jpeg
 
Kuna jamaa aliniambia eti Museveni miradi yote anayo fanya Magu ameshaifanya!! Uzuri tulikuwa sehemu tulivu, alitoka akiwa na uelewa mpya. Kuna wengine hawana taarifa halafu wanachulia poa nchi yao.
wengi wajinga hawajiongezj.

kuna mapuuzi fulani nilikuta yanajadiliana na jamaa mmoja, yakawa yanaropoka kenya kuna mpaka train ya umeme.

nikawaza nikisimama hapa najipa kazi ngumu, mpaka waelewe hawa.ndio haya baadhi yao yana tecno na acc za twiter.
 
hawa wa huku wanafanana na wenu wale wanaodhani kenya ni juu milele,kumbe ni utumbo.

anyway ile story ya rent kibera ni tsh 3000 umeiona huko juu
300 nairobi hyo ni fare ya kumtoa hyo mtu kumpeleka town na kumrudisha..
Sasa ukisikia watu km hao waangalie tu, heheee!!alafu tatizo story yake ilibuma.alitaka a trend ndio aonekaniwe km wenzake ambao tayari wameshakua ma celeb
 
Kenya mwanaume ni mmoja tu,uhuru kenyatta pekee. .hakuna mwingine anaweza kuwa rais,halafu kumbe huyu jamaa ni ditactor maana tangu mkapa ni raisi,kaja kikwete kapita,sasa magu naye huyo anakaribia kumaliza muda wake lakini jamaa tu yupo madarakani na wala hana mpango wa kuachia madaraka. .kenya mwanaume ni mmoja tu,wengine wooote ni wanawake
 

Attachments

  • 115804150_1383212351878158_6258260435974895130_n.jpg
    115804150_1383212351878158_6258260435974895130_n.jpg
    16.6 KB · Views: 10
  • 116053680_1383212311878162_8090216674776470559_n.jpg
    116053680_1383212311878162_8090216674776470559_n.jpg
    22.4 KB · Views: 17
Back
Top Bottom