Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila tuna watu wana uelewa mdogo saana,ukiangalia coments za hiyo tweet utaona bado kuna wimbi la wajinga humu nchini bado wanaigwaya Kunya...ila uyo alopost kaiweka sawa saana.
wengi wajinga hawajiongezj.

kuna mapuuzi fulani nilikuta yanajadiliana na jamaa mmoja, yakawa yanaropoka kenya kuna mpaka train ya umeme.

nikawaza nikisimama hapa najipa kazi ngumu, mpaka waelewe hawa.ndio haya baadhi yao yana tecno na acc za twiter.
 
https://www.tanroads.go.tz/common/uploads/projects/brt_phase_3.mp4
Ukitazama vizuri hii video utagundua mji wa Dar es salaam pamoja na uwingi wa watu bado unajitahidi sana kwa usafi,hakuna milima milima ya uchafu kbs hii ni latest video credits kwa Tanroads visual site visit ya BRT phase 3 maeneo mengine unaweza sema ni render hahahah duh 😍
 
wengi wajinga hawajiongezj.

kuna mapuuzi fulani nilikuta yanajadiliana na jamaa mmoja, yakawa yanaropoka kenya kuna mpaka train ya umeme.

nikawaza nikisimama hapa najipa kazi ngumu, mpaka waelewe hawa.ndio haya baadhi yao yana tecno na acc za twiter.
Kweli mkuu kuna majinga yanakera kichiz
 
Nilishakuambianga una mapepo wewe unaitaji maombi.Pole we are protected by the blood of Jesus naelewa Imani yako inaendana na ya shetani
Kwanini hiyo blood of Jesus isiwakinge dhidi ya Corona, Njaa, Ukabila na Police killings?. Jiandaeni kwa very brutal Alshaabab attacks very soon.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
unakuta mtu kazi hafanyi kazi ubabaishaji tu, na akikutana na wenzie ambao nao ni maamuama, anawatia kamba balaa.
Kuna lingine lilikua linasifia JKIA nlipolionyesha clip za JNIA likafyata mkia, unajua mikenya imefanikiwa kusambaza majigambo yao hadi ndani ya TZ ambapo bila kuwafunulia waTZ mazuri yaliyopo nchini itachukua muda kuwaweka sawa
 
Back
Top Bottom