Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna lingine lilikua linasifia JKIA nlipolionyesha clip za JNIA likafyata mkia, unajua mikenya imefanikiwa kusambaza majigambo yao hadi ndani ya TZ ambapo bila kuwafunulia waTZ mazuri yaliyopo nchini itachukua muda kuwaweka sawa
hamna shida muda utafika kila mtu atajua nani ni nani, kama dunia ambavyo imejua.
 
Komora kwasabu ww ni mwanamke najua utakuwa unajuwana na wanawake wengi so nifanyie mpango demu wa kikenya, na km atatokea mombasa itakuwa poa zaidi, nicheki pm.
Usinichekeshe jamani, nani kakwambia mimi mwanamke
 
wengi wajinga hawajiongezj.

kuna mapuuzi fulani nilikuta yanajadiliana na jamaa mmoja, yakawa yanaropoka kenya kuna mpaka train ya umeme.

nikawaza nikisimama hapa najipa kazi ngumu, mpaka waelewe hawa.ndio haya baadhi yao yana tecno na acc za twiter.
Hahaha!!leo naona mumeanza kukubali km hko mitaani ni mazuka lkn umeamua kuja kivingine ndio point yako ipite
 
wengi wajinga hawajiongezj.

kuna mapuuzi fulani nilikuta yanajadiliana na jamaa mmoja, yakawa yanaropoka kenya kuna mpaka train ya umeme.

nikawaza nikisimama hapa najipa kazi ngumu, mpaka waelewe hawa.ndio haya baadhi yao yana tecno na acc za twiter.
Bible inasema wacha wafu wazike wafu wenzao.
 
Kuna lingine lilikua linasifia JKIA nlipolionyesha clip za JNIA likafyata mkia, unajua mikenya imefanikiwa kusambaza majigambo yao hadi ndani ya TZ ambapo bila kuwafunulia waTZ mazuri yaliyopo nchini itachukua muda kuwaweka sawa
Ucjal mkuu watz wengi wameanza kuelewa thamani ya nchi yao na ukiongezea na jinc Wakenya wanavyotuogopa basi ndo hali ya kujiamini kwa WaTz inazd.
 
wengi wajinga hawajiongezj.

kuna mapuuzi fulani nilikuta yanajadiliana na jamaa mmoja, yakawa yanaropoka kenya kuna mpaka train ya umeme.

nikawaza nikisimama hapa najipa kazi ngumu, mpaka waelewe hawa.ndio haya baadhi yao yana tecno na acc za twiter.
😂😂😂😂😂😂
 
Maendeleo pekee ambayo ndugu zetu WAKENYA wameweza jamani tuwapongeze kwà hili kabisa..
Screenshot_20200806-155947~2.jpg
 
Back
Top Bottom