Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,771
Nadhani hapana. Njia hiyo inazunguka kutoka Samnujoma Road - Ubungo Plaza - Morogoro Road.Barabara inayoenda Simu 2000 kutokea maji pale kuunganisha na ya ubungo interchange inapigwa zege la maana. Ni seheme ya BRT?
Barabara inayoenda Simu 2000 kutokea maji pale kuunganisha na ya ubungo interchange inapigwa zege la maana. Ni seheme ya BRT?
Nadhani hapana. Njia hiyo inazunguka kutoka Samnujoma Road - Ubungo Plaza - Morogoro Road.
Hapana. Kuna njia ya mchepuko kupitia kituo cha dala dala mawasiliano kuna mpaka morogoro road. Ngoja nitafute ramani take.hio barabara kutoka njia panda ya chuo kuelekea ubungo inapanda juu ya flyover (interchange) haikutani na morogoro rd kwa chin
Nadhani kuna barabara itakayoenda kituo cha mabasi ya Mikoani Ubungo itakayounganishwa na Interchange kwa kupitia nyuma ya TBS na kituo cha mabasi ya Mikoani!Barabara inayoenda Simu 2000 kutokea maji pale kuunganisha na ya ubungo interchange inapigwa zege la maana. Ni seheme ya BRT?
Sina uhakika 100% lakini niliskia ni kwajil ya BRTBarabara inayoenda Simu 2000 kutokea maji pale kuunganisha na ya ubungo interchange inapigwa zege la maana. Ni seheme ya BRT?
Miccm yote ni mijinga kabisa.Vinakula kinyesi tu havitumii ubongo.Huwezi kureason na hivi vinyangarika na akili kama vya vifaranga![]()
Kuna comments nyingine ukiziona unagundua kabisa kuna shida au kuna kitu kinakusumbua,Miccm yote ni mijinga kabisa.Vinakula kinyesi tu havitumii ubongo.Huwezi kureason na hivi vinyangarika na akili kama vya vifaranga![]()