uwanja wa fisiUsinichoshe nianze ku screen shot video nzima nkuwekee humu, majengo yamebanana km hawaishi watu hakuna mipango miji yn hovyo hovyo au huoni, hahahaha naona mwalimu wanjala amesikia aibu kweli.
uwanja wa fisiUsinichoshe nianze ku screen shot video nzima nkuwekee humu, majengo yamebanana km hawaishi watu hakuna mipango miji yn hovyo hovyo au huoni, hahahaha naona mwalimu wanjala amesikia aibu kweli.
HahahahaSiku hizi dunia kijiji,naweza pata picha za nairobi za sekunde 3 iliyopita,sio mpaka nije kuchukua corona huko.
Angalia nimeandika tu the largest slums in the world ona nilichokutana nacho [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]uwanja wa fisi
Kwenye hiyo video umeweka ni utopolo mtupu, hyo picha ya mbele hapo haipo kwenye video ofcz ni comedians wa kikenya walitaka kupiga pesa.uwanja wa fisi
Yah c km epl tu investors from outside the country wanaenda kuinvest kwenye ligi yao cz ni inalipa, ss mtu ukawekeze kwny ligi ya kenya ambayo mashabiki wakifika elf 2 tu uwanjani ni rekodi c uchizi huo.Everything Kenyan. From sponsorship to Bank
View attachment 1525103
Hebu zoom utuoneshe slums [emoji3][emoji3][emoji3]dar city apo,,,,yote ni uswazi na nikaribu na city
View attachment 1525113
Including Kenyan Best players like Francis Kahata Fundi, he is paid just like your Ministers hapo Kenya,Everything Kenyan. From sponsorship to Bank
View attachment 1525103
Everything Kenyan. From sponsorship to Bank
View attachment 1525103
Kwahiyo hii ni slum...[emoji23][emoji23][emoji23] akili mgandooanother one from DAR CITY..Ati hakuna slum?? Before you start criticizing Kibera and other kenyan slum just know nyinyi pia mko na slums..ama mnataka twende MWANANYAMALA Slums ?
View attachment 1524772
Naona unatuchanganyia n zenu kidgo siyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kunya ni slum tupuUwanja wa fisi ..hilo...naskia Dar es salaam haina slum? basi hii..nimeanza ku call register kama uko around uwanja wa fisi sema..."present" and spot your self..
View attachment 1524762
View attachment 1524764
View attachment 1524766
View attachment 1524768
View attachment 1524769
Madanguro AKA malaya hao wako kazi mchana..
Ni km eti hizi ziko planned..always in denialdar city apo,,,,yote ni uswazi na nikaribu na city
View attachment 1525113
Usinichoshe nianze ku screen shot video nzima nkuwekee humu, majengo yamebanana km hawaishi watu hakuna mipango miji yn hovyo hovyo au huoni, hahahaha naona mwalimu wanjala amesikia aibu kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Everything Kenyan. From sponsorship to Bank
View attachment 1525103
Kumbe hujui kitu wewe..Including Kenyan Best players like Francis Kahata Fundi, he is paid just like your Ministers hapo Kenya,
The one you see in picture is one of the best players in Mozambique National Team
Actually that was Azam Federation Cup Finals played between Simba Vs Namungo FC at Mandela Stadium Sumbawanga Town, (1000km from Dar) the stadium were fully packed, sold out.
Vipi huko Kenya, Nithern Kenya kule Lamu na Masabit na Kayole na Garisa, Do they have any idea about football?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wah aki sikijua dar iko na maenoe ka haya,,am shockeddar city apo,,,,yote ni uswazi na nikaribu na city
View attachment 1525113
Tafuta kitu inaitwa chapa dimba wewe..Kuna shida mahali sio bure! Sasa Wakenya wanakimbia kufadhili Tanzania, halafu kampuni za kitanzania ziende kufadhili Kenya [emoji16]!? Kama Kuna fursa kiasi hicho kwanini msibaki huko mfadhiliane mfichiane na aibu !?
Kenya Imekuwa maji kupwa maji kujaa, muda fulani mnaact Kama hamnazo hivi[emoji23]. Kalaghabao!